Deal ya Ali Kiba na Sony: Makosa yanayojirudia..

mkuu umetoa hoja ikiambatana na mifano ila lakini wanaokujibu wanakujibu kwa ushabiki..
 
OK naona unataka tuanzishe ubishi wa kitoto kwamba mpaka uone contract eti ndio ufanye analysis!! Nadhani haufahamu hata Forbes (kwa mfano) wanatumia info kutokana na 'ufahamu' wao kucalculate net worth za watu ambazo tunatangaziwa kila siku na zitumia kurank watu.. Mkataba wa Ali na Sony ni siri yao wao ninapokwambia kuwa naweza kuijua skeleton ya mkataba namaanisha kuwa wanachokifanya Sony kinajulikana (music production, marketing, distribution, branding etc) so kwa akili ya kawaida kabisa hatutegemei mkataba wao utahusu 'kuuza magari'!! Mkataba utahusu hivyo vitu nilivyovimention hapo ila kilicho siri ni zile details zenyewe moja moja.. Kwa mfano labda atarekodi nyimbo ngapi katika kipindi chake cha mkataba, au thamani ya video zitakuwaje, au wasanii wa kalibha gani wana watarget afanye nao kolabo etc etc etc..
 
Uzuri Dr king alikuwa anaongelea 'moving forward' not 'backward'
Boss kwa namna hyo husaidii wasanii zaid ya kukatisha tamaa wasanii walua hawana pesa ya kuingia studio nzur kufanya video nzur pesa ya kulipa wasaidiz leo ali kiba kapata vyote utaanzakutoa utabir wa kijnga ultaka nini wenye nazo ndo waendelee na wasionavyo wasote milele wivu na ushabik wakijinga huo ona aibu..
 
Muda wa kuandika thread ndefu hivi alafu iko negative unaupata wapi?
Wabongo kula kitu mnajifanya mnajua.
Wewe uliye bize na mambo yako ya muhimu kuliko sisi wote duniani nashangaa unafanya nini hapa!! Hujalazimishwa kusoma wala kuchangia... Tuache sisi tusio kuwa na mambo ya msingi ya kufanya tuendelee kupoteza muda!!

Vipi umelizika muheshimiwa???
Watu wengine kwa kujifanya important[emoji57]
 
Na ndio maana mwishoni mwa andiko langu nimemtakia kilala heri (kutoka moyoni mwangu kabisa) na binafsi ntafurahi nikiona dili ime work out.. But nimetoa mtazamo wangu tu na kuonyesha wasiwasi wangu juu ya hilo!
 
Mkuu mi naomba nikurekebishe kidogo tu na kuweka kumbukumbu sawa, D-banj hajawahi kuwa Mavins Record, acha kupotosha watu ama kwa bahati mbaya au makusudi
D'banj alikuwa anasimamiwa kazi zake za kimuziki na Don jazzy ambaye ndiye mmiliki wa Mavins!

Hapo vipi?
 
Ngoja nipretend kama sijayaona hayo matusi yako niende kwenye hoja ya msingi!! Wasanii wote unaowaona wanaitingisha Afrika kwa sasa hawawataki kabisa kuwasikia hawa Sony na wenzao.. Na kutengeneza management nzuri hakuhitaji msanii uwe na fedha, kumbuka wewe msanii ndiye product wao wanakuja kuimarket na watapata riziki yao kulingana na mafanikio yatakayo patikana
 
Sidhani km hii sentensi ya mwisho unamaanisha umeandika as if unaudharau huo mkataba [emoji20] [emoji20] [emoji20]
 
watu kama nyinyi hamkosekani, r4000 nayo mliponda kama hivi, unajitahidi kumponda mtu ambaye akipiga show ya masaa manne ni mishahara yako ya miezi kibao
Kuna wa tanzania wana roho mbaya ni kijana wenzao mtanzania mwenzio mtu anahakikisha anamshusha Kwa makusudi mane no meeengi kumbe hata ajira hana... Wakati mwenzie ana ingiza mapesa
 
Nakaaya yupo rehab... Rose muhando yupo rehab.... Keko kawa kichaa.. Yote sababu ya mkataba wa sonny.

Kiba....??

Mhh ngoja nipite zangu nisiitwe hater mie.

Nyi ndo wachawi wenyewe msiotaka maendeleo ya watu,umeambiwa Sonny ndo wanamfanya mtu adate na kwenda Rehab?
 
Kuna wa tanzania wanashabikia roho mbaya ni kijana wenzao mtanzania mwenzio mtu anahakikisha anamshusha Kwa makusudi mane no meeengi kumbe hata ajira hana... Wakati mwenzie ana ingiza mapesa
wabongo tuna matatizo sana, hatuonagi mazuri, ukiacha hiyo ya sony kuna mkataba mwingine pia kasaini lakini wote kimya, wamekazania sony sabb hapo ndo kuna angalau kanafasi ka kuponda
 
wabongo tuna matatizo sana, hatuonagi mazuri, ukiacha hiyo ya sony kuna mkataba mwingine pia kasaini lakini wote kimya, wamekazania sony sabb hapo ndo kuna angalau kanafasi ka kuponda
Huo mkataba wa Sony ndio concern yangu ulipo!! Alafu ni opinion yangu binafsi tu hakuna haja ya kutoka povu sana..
 

Wewe ndo unaleta ubishi wa kitoto unazunguka wee unarudi palepale na unakiri kabisa"kilicho siri ni zile details zenyewe moja kwa moja " ambazo ndo main point na wewe huzifahamu ila matokeo yake umehitimisha kwa kauli kuwa hudhani kama itamsaidia Kiba,tambua kabisa siku hizi hatuishi kwa nadharia na hata hao forbes huwa wanafanya utafiti ndo wanakuja na majibu si kudhani fulani ndo atakua juu ya mtu fulani kisa ana vitu kadhaa..Tambua kuwa Ali Kiba nae ana washauri wake ambao humshauri kabla hajafanya maamuzi na wasanii wengine pia hufanya hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…