joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
D'banj alikuwa anasimamiwa kazi zake za kimuziki na Don jazzy ambaye ndiye mmiliki wa Mavins!
Hapo vipi?
kwa hiyo ingekuwa dili nzuri zaidi kama angesainiwa na Sony Music Entertainment yenyewe ya kimataifa?Kwanza kabisa kitu ambacho hawakielewi ni kuwa Ali hajasaini na Sony Music Ent. BMG (ishu yake sio 'global deal') bali amesaini na Sony Music Africa ambayo ni subsidiary ya Sony Music Entertainment!! Kwa ninavyoelewa Sony Music Africa wana sambaza mziki na kumanage wanamuziki ndani ya Africa pekee.. Sasa eidha Ali hajui alichosaini au chumvi inaongezwa kunogesha habari.....
Kama Unafuatilia Clouds kwa sasa hivi anazungumza Manager wa alikiba kuhusu "Global deal" aliyosign Kiba na Sony Music....watagharamia kazi zake zote za kimuziki duniani pamoja na career development yake kiujumla ikiwa ni pamoja na kuwaleta or kumuweka Ali karibu na wasanii wakubwa kimataifa, waandishi mbalix2 wa nyimbo worldwide...na kingine ni kusaidia katika image development ya bwana Kiba....pia watafanikisha muziki wa kiba uweze kupigwa kwenye platform balimbali ulimwenguni e.g. Tidal na nyinginezo. By the way ni mkataba wa miaka 5.
<iframe width="854" height="480" src="" frameborder="0" allowfullscreen></iframe>
Timu flani wamepanic tu baada ya kuona insta kila MTU kapost badala ya kuwa support MTU analeta kijiba huo ka siwanga nini una uchungu na msanii toa constructive ideas.wabongo tuna matatizo sana, hatuonagi mazuri, ukiacha hiyo ya sony kuna mkataba mwingine pia kasaini lakini wote kimya, wamekazania sony sabb hapo ndo kuna angalau kanafasi ka kuponda
hawa jamaa kizuri tushawajua hawatupi tabu, ngoja wao msanii atasaini tidal sisi tutawapongeza tu hatunaga figisuTimu flani wamepanic tu baada ya kuona insta kila MTU kapost badala ya kuwa support MTU analeta kijiba huo ka siwanga nini una uchungu na msanii toa constructive ideas.
Kwa definition yako unaamini constructive ideas ni kusifia tu!! DuhTimu flani wamepanic tu baada ya kuona insta kila MTU kapost badala ya kuwa support MTU analeta kijiba huo ka siwanga nini una uchungu na msanii toa constructive ideas.
Ua too much of negativity not only from dis threads, even to other post concern kiba ni ile kupostiwa IG kumewavuruga nyie timu mwaflani hampendagi wasanii wengine wapige hatua eeeehKwa definition yako unaamini constructive ideas ni kusifia tu!! Duh
Haswaaaa!! Mwanzoni huwa wanawapamba hivi hivi, alafu wenzao siku amepotea kwenye ramani haonekani ndio wanaanza kutoa ushauri wakati tayari it's too late..Maneno ya kusign mikataba siku zote huwa Ni matamu hivi hivi . Tumuombee afya njema aweze kufanikisha haya
MTU mwenye nia hutoa mawazo mazuri sio kuponda nimeona insta wamepoa hao ila d akisaini ni haki yake lohhawa jamaa kizuri tushawajua hawatupi tabu, ngoja wao msanii atasaini tidal sisi tutawapongeza tu hatunaga figisu
Hii thread haijaandikwa kwa mahaba ya uteam yoyote ile!! Nimeongea uhalisia ulivyoUa too much of negativity not only from dis threads, even to other post concern kiba ni ile kupostiwa IG kumewavuruga nyie timu mwaflani hampendagi wasanii wengine wapige hatua eeeeh
Bro lets not get there kuhusu hiyo video maana nikitoa maoni yangu utaniona hater!! Tujadili mkataba wa Sony, meneja Seven kamshauri msanii wetu vibaya... Hata fika popote na Sony, awe makini sana, sony wana record nzuri sana ya kuwapoteza wasanii kwenye ramani ya mziki
Yupo na rockstar4000 bado
Ujue wivu sio mzuri team dimond hasa bold furahia vidio kali ndugu
Nani aliyeponda bibie!! Nimetoa angalizo achukue tahadhali wenzake wamepotea baada ya kujiassociate na hao watu.. Alafu watu gani hao wa insta wamepoa??? Team simba??? Hahahahah inaonekana huwajui hao jamaaMTU mwenye nia hutoa mawazo mazuri sio kuponda nimeona insta wamepoa hao ila d akisaini ni haki yake loh