Deal ya Ali Kiba na Sony: Makosa yanayojirudia..

Deal ya Ali Kiba na Sony: Makosa yanayojirudia..

Ingawa hawa jamaa walichemka kwa redsan, nakaya rose muhando na yule rapa wa kike wa Uganda, tusiwe wapiga ramli hatuwezi jua safari hii wamejiadaaje kwa kiba. Ingawa najiuliza Lebo ipo South lkn A list yote ya wasanii wa South sijawaona kumenejiwa na SONY, ila tuwe na subira mambo ya naweza kuwa mazuri kwa kiba kwani kila mtu na zali lake
 
D'banj alikuwa anasimamiwa kazi zake za kimuziki na Don jazzy ambaye ndiye mmiliki wa Mavins!

Hapo vipi?

Alikuwa hasimamiwi tu but walikuwa na label inayoitwa Mo' hits Records ambayo ilikuwa inamilikiwa na wote wawili na hata kama kusimamiwa haimaanishi ndo alikuwa mavins. Kwanza Mavins imeanza mwaka 2012 Don Jazy na D'banj wametengana kabla ya hapo Mkuu
 
Naweza kusema kuna upepo mbaya unaikumba hii group ya wanamuziki kutoka bongo mbona hakuna taarifa za maana Kama vile ' Ali Kiba ametoa album yake mpya ameuza copy mil 700 labda amevunja record ya so and so iliyowekwa Mwaka so and so au kafanya show iliyo vunja record Kwenye mauzo ya ticket Kwa kiasi hiki na kile badala yake tunakaukiwa mate na kuchoshwa masikio Kwa team kushabikia vitu ambavyo Hata huyo msanii na uongozi mzima wa msanii Hiyo wame sign bila hat kuelewa wamedumbukia Kwenye shimo gani.

Mleta uzi amejaribu ku highlight maajabu negative yaliyo wakumba walio sign before wote walitegemea watapaa na kufanya kazi zao Kwa upana zaidi lakini wameangukia pua tu nani Ni mjanja wa kumshauri msanii wa bongo asijiweke huko Kama Sio watu Kama mleta uzi huu. Elimu ndogo ya washauri waliozunguka katika maisha ya wasanii wetu wa hapa bongo inachangia Sana kuwapelekea wasanii wetu kusign vitu bila kujitambua Kwa kushinikizwa na washauri wasiojielewa.

Kama mleta Uzi ametaja wasanii walioangukia pua na wengi tunawafahamu na tunakubali kuwa wamefifia na kutoweka pamoja na signature zao kuwepo kule SONY basi wewe unaye ona mleta Uzi hayuko sahihi leta mifano yako ya wasanii waliofanikiwa baada ya kusign na Hao kina SONY

Na hizi team zingekuwa na manufaa Kama Hata album za hao wasanii wananunua naona wanaishia kusimamia mada huku wanaishia kununua bundle ili waendeleeza malumbano na Sio kununua na kazi zao.
 
Usilolijua ni usiku wa kiza
Kwani akiwa chini ya Sony management ya bongo umeambiwa ataicha acha kukariri kijanaa
 
Kwanza kabisa kitu ambacho hawakielewi ni kuwa Ali hajasaini na Sony Music Ent. BMG (ishu yake sio 'global deal') bali amesaini na Sony Music Africa ambayo ni subsidiary ya Sony Music Entertainment!! Kwa ninavyoelewa Sony Music Africa wana sambaza mziki na kumanage wanamuziki ndani ya Africa pekee.. Sasa eidha Ali hajui alichosaini au chumvi inaongezwa kunogesha habari.....
kwa hiyo ingekuwa dili nzuri zaidi kama angesainiwa na Sony Music Entertainment yenyewe ya kimataifa?

Ili Ali Kiba akauzwe Uchina, Saudi Arabia, Marekani..... au?
 
Kama Unafuatilia Clouds kwa sasa hivi anazungumza Manager wa alikiba kuhusu "Global deal" aliyosign Kiba na Sony Music....watagharamia kazi zake zote za kimuziki duniani pamoja na career development yake kiujumla ikiwa ni pamoja na kuwaleta or kumuweka Ali karibu na wasanii wakubwa kimataifa, waandishi mbalix2 wa nyimbo worldwide...na kingine ni kusaidia katika image development ya bwana Kiba....pia watafanikisha muziki wa kiba uweze kupigwa kwenye platform balimbali ulimwenguni e.g. Tidal na nyinginezo. By the way ni mkataba wa miaka 5.
<iframe width="854" height="480" src="" frameborder="0" allowfullscreen></iframe>


Maneno ya kusign mikataba siku zote huwa Ni matamu hivi hivi . Tumuombee afya njema aweze kufanikisha haya
 
Historically sony haijawahi wapa mafanikio makubwa wasan wa kiafrica zaid ya kuwarudisha nyuma kimuzik mfano akina rose mhando... lkn pia kudunia sony imelalamikiwa sana kwa kuharibu person focus na life style za wasani wanaokua chin ya lebo yao... so daa kiba na management yake wawe makin sana
 
wabongo tuna matatizo sana, hatuonagi mazuri, ukiacha hiyo ya sony kuna mkataba mwingine pia kasaini lakini wote kimya, wamekazania sony sabb hapo ndo kuna angalau kanafasi ka kuponda
Timu flani wamepanic tu baada ya kuona insta kila MTU kapost badala ya kuwa support MTU analeta kijiba huo ka siwanga nini una uchungu na msanii toa constructive ideas.
 
Timu flani wamepanic tu baada ya kuona insta kila MTU kapost badala ya kuwa support MTU analeta kijiba huo ka siwanga nini una uchungu na msanii toa constructive ideas.
hawa jamaa kizuri tushawajua hawatupi tabu, ngoja wao msanii atasaini tidal sisi tutawapongeza tu hatunaga figisu
 
Timu flani wamepanic tu baada ya kuona insta kila MTU kapost badala ya kuwa support MTU analeta kijiba huo ka siwanga nini una uchungu na msanii toa constructive ideas.
Kwa definition yako unaamini constructive ideas ni kusifia tu!! Duh
 


Yupo na rockstar4000 bado
Ujue wivu sio mzuri team dimond hasa bold furahia vidio kali ndugu
 
Kwa definition yako unaamini constructive ideas ni kusifia tu!! Duh
Ua too much of negativity not only from dis threads, even to other post concern kiba ni ile kupostiwa IG kumewavuruga nyie timu mwaflani hampendagi wasanii wengine wapige hatua eeeeh
 
Maneno ya kusign mikataba siku zote huwa Ni matamu hivi hivi . Tumuombee afya njema aweze kufanikisha haya
Haswaaaa!! Mwanzoni huwa wanawapamba hivi hivi, alafu wenzao siku amepotea kwenye ramani haonekani ndio wanaanza kutoa ushauri wakati tayari it's too late..
 
hawa jamaa kizuri tushawajua hawatupi tabu, ngoja wao msanii atasaini tidal sisi tutawapongeza tu hatunaga figisu
MTU mwenye nia hutoa mawazo mazuri sio kuponda nimeona insta wamepoa hao ila d akisaini ni haki yake loh
 
Diva Beyonce wengine hatuna team ila tunapenda mziki na mafanikio ya mwanamziki.. so hatumuonei wivu kiba ila tunajaribu kutahadharisha tu na kueleza uhalisia wa maisha ya msanii chin ya label hii #sony with reference ya wasanii walio wahi kua chini ya sony.... One time hadi Wako Jacko aliwahi lalamika juu ya hii label..
Ni mtazamo tu
 


Yupo na rockstar4000 bado
Ujue wivu sio mzuri team dimond hasa bold furahia vidio kali ndugu

Bro lets not get there kuhusu hiyo video maana nikitoa maoni yangu utaniona hater!! Tujadili mkataba wa Sony, meneja Seven kamshauri msanii wetu vibaya... Hata fika popote na Sony, awe makini sana, sony wana record nzuri sana ya kuwapoteza wasanii kwenye ramani ya mziki
 
Huyo Seven ndo alietupiwa lawama kuwa lizibania video za Domo zisipingwe chanel gani sijui
 
MTU mwenye nia hutoa mawazo mazuri sio kuponda nimeona insta wamepoa hao ila d akisaini ni haki yake loh
Nani aliyeponda bibie!! Nimetoa angalizo achukue tahadhali wenzake wamepotea baada ya kujiassociate na hao watu.. Alafu watu gani hao wa insta wamepoa??? Team simba??? Hahahahah inaonekana huwajui hao jamaa
 
Back
Top Bottom