wepson
JF-Expert Member
- Mar 31, 2014
- 831
- 219
Habarin wana Jf Mimi Nimember mpya hatakama Nimechelewa kujitambulisha hapa katika Jukwaa letu.Nimejiunga na juu hii tangu mwezi wa kwanza ingawa wengine wanaweza sema mbona thread zangu hazijaonekana.Kwa kua jf ni kubwa sana kama msongamano wa k/koo basi ninaweza nikawa naakieni pita kushoto nawewe/ au msionijua mnapita kulia lakini all in all nipokwa kwa muda taja hapo juu.Nawatakieni ushirika mzuri katika kutoa hoja mbalimbali za kuelimishana ,Kisiasa kiuchumi ,Mahusiano,Michezo na Tekinolojia
ASANTENI
Ni mimi wepson
ASANTENI
Ni mimi wepson