Dear All My I Get In???

Dear All My I Get In???

wepson

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2014
Posts
831
Reaction score
219
Habarin wana Jf Mimi Nimember mpya hatakama Nimechelewa kujitambulisha hapa katika Jukwaa letu.Nimejiunga na juu hii tangu mwezi wa kwanza ingawa wengine wanaweza sema mbona thread zangu hazijaonekana.Kwa kua jf ni kubwa sana kama msongamano wa k/koo basi ninaweza nikawa naakieni pita kushoto nawewe/ au msionijua mnapita kulia lakini all in all nipokwa kwa muda taja hapo juu.Nawatakieni ushirika mzuri katika kutoa hoja mbalimbali za kuelimishana ,Kisiasa kiuchumi ,Mahusiano,Michezo na Tekinolojia

ASANTENI
Ni mimi wepson
 
Dear all My i get inn??????!!!!!!!!! Hata Kiswahili ungeandika tungelikuelewa.
 
Back
Top Bottom