Happy birthday dear Asprin, binamu original. Kitu cha kunishangaza ni kwamba unashare siku hii ya kuzaliwa na mume wangu kipenzi, Kama mie nvyoshare siku yangu na Teamo aka baba gift, what a coincidence lol..Have a blast day
My dearest orijino and festi mujukuu:
YES IT IS MY BIRTHDAY!!!
:welcome::welcome::smile-big::smile-big::amen::amen:😛eace:😛eace::msela::msela::drum::tea::cheer2::lalala::A S-heart-2::violin::llama:
Namshukuru Mama yangu kwa kunileta duniani, kunilea vema na kunitunza vema
Namshukuru baba yangu kwa kunileta duniani, kunilea vema na kunitunza vema
Wazazi wangu, kwa malezi yenu: SASA NAISHI NA WATU VIZURI!!!
Ahsante mama Matesha kwa kunipenda na kunijali
Ahsante mabinti zangu Matesha na Mamshanga kwa kunipa furaha
Nawashukuru marafiki zangu kwa kunipenda, kunijali, kunisaidia na kunishirikisha.
Nawashukuru wana JF kwa upendo wenu kwangu.
Wajukuu: Nawapendeni sana
Wapwa: Pamoja daima.:welcome::welcome:
Babu anazidi kuzeeka, babu anazidi kulitafuta kaburi....lakini hakika atakufa kwa furaha kwa sababu yenu!
Happy birthday Man............endeleza lile babu yako alokwambia, tumia maneno yako kuwafanya watu wafurahi na sio fedha kwasababu fedha zinaisha bali maneno hayaishi.
Na haya maneno uyatumie mara nyingi sana unapokuwa unashiriki na familia kwenye ubwabwa na kibua.
:drum::drum::cheer2::cheer2::rockon::rockon::violin:
mwanajamii hapo juu naona unatuharibia thread yetu pendwa sasa....Happy Birthday Babu...........Bibi alininong'oneza kuwa ulizaliwa saa sita kasorobo usiku ndo mana thread haijarushwa saa sita kamili mwanzo wa siku.
Hongera sana na sisi pia tunamshukuru MUNGU, Mama Asprin, Mama Matesha, Mamshanga na Matesha kwani bila wao sie tusingekuwa na wewe kwa furaha.
Ubarikiwe sana .........but masikitiko ni kuwa TBL na SBL hawatafanya kazi leo......................wanafanya stock taking.
Long live Mountain Dew
Happy Birthday Babu...........Bibi alininong'oneza kuwa ulizaliwa saa sita kasorobo usiku ndo mana thread haijarushwa saa sita kamili mwanzo wa siku.

mwanajamii hapo juu naona unatuharibia thread yetu pendwa sasa....
kiongozi nakumbuka enzi zako dah!ulikuwa mbabe sana,hehehehehe
mwanajamii hapo juu naona unatuharibia thread yetu pendwa sasa....
Hapo ndipo unapoharibu sasa... au kwa kuwa
.............I am thanking YOU for through your UNCONDITIONAL LOVE, I am REJUVENATED.....?
Hahahahah...Teamo kwa wengine huduma kama kawa isipokuwa kwa mtoto Asprin .....kama vipi aje na kikombe kabisa mtakuwa mnamgaia za kwenu.........lol
Happy Birthday Babu
kiongozi halafu ensi zako ulikuwa mchoyo sana kwa watoto wenzio....!
angalia hii soda unavyoinywa x-mass ya mwaka 1977
hehehehe!halafu hii nilikuwa sijainotisi.....!
.............I am thanking YOU for through your UNCONDITIONAL LOVE, I am REJUVENATED....
samahani emjeiwani hapo juu,mimi sio mwingredha lakini hiyo sentensi inaonekana inakifafa cha kingredha....!hebu iweke sawa,hapo kwenye FOR THROUGH hapo....