Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hii posted via mobile bado hujatoka guest tu?
Hahahaha...senksi kajukuu,
babu hana mjukuu wa kiume. Ndo bahati nliyojaliwa na Mungu
Wajukuu wa kiume wasumbufu babu na hivi unavyozeeka wanapigia tu mahesabu ng'ombe wako, ila sisi wa kike tunaomba sukari uko kwa waume zetu halafu tunakuletea wewe na bibi raha ilioje
Hivi nani kapewa jukumu la Logistic za Leo? Babu lazima Aifurahie siku yake leo....aisee hapo juu punguzeni speed ya hii thread,
au ninyi ndo wakoloni wenyewe?
Jukuuz za kiume huthubutu hata kuuza baiskeli yako mwenyewe...yanataka yairithi eti... ukichelewa kufa hayachelewi kukuua.
Jukuuz za kike zikishaolewa, zinagawana na babu wanavyopewa na waume zao.
Mi nashukuru Mungu kwa kunipa them geloz jukuuz
aisee hapo juu punguzeni speed ya hii thread,
au ninyi ndo wakoloni wenyewe?
aisee hapo juu punguzeni speed ya hii thread,
au ninyi ndo wakoloni wenyewe?
Happy Birth Day Babu Asprin,
Ningependa kuchukua fursa hii na kusema kuwa miyaka inavyo zidi kuongezeka na capacity ya kunyuwa ze lager ina pungua.. Kwa hiyo nigependa kuku zawadia kinywaji kimoja kati ya hivi.
Enjoy your coming year...