Dear Babu Asprin...

Nyie wote hapo juu...

Ahsanteni sana kwa birthday wishes

Am veeeeeeeeeeeeery happy......... Happiest than ever!:smile-big::smile-big:
 
Happy birthday Mungu akupe miaka mingi yenye baraka tele:amen:
 
happy birthday babu kipenzi cha wajukuu wa kike
 
Hahahaha...senksi kajukuu,

babu hana mjukuu wa kiume. Ndo bahati nliyojaliwa na Mungu

Wajukuu wa kiume wasumbufu babu na hivi unavyozeeka wanapigia tu mahesabu ng'ombe wako, ila sisi wa kike tunaomba sukari uko kwa waume zetu halafu tunakuletea wewe na bibi raha ilioje
 
Wajukuu wa kiume wasumbufu babu na hivi unavyozeeka wanapigia tu mahesabu ng'ombe wako, ila sisi wa kike tunaomba sukari uko kwa waume zetu halafu tunakuletea wewe na bibi raha ilioje

Jukuuz za kiume huthubutu hata kuuza baiskeli yako mwenyewe...yanataka yairithi eti... ukichelewa kufa hayachelewi kukuua.
Jukuuz za kike zikishaolewa, zinagawana na babu wanavyopewa na waume zao.
Mi nashukuru Mungu kwa kunipa them geloz jukuuz
 
aisee hapo juu punguzeni speed ya hii thread,
au ninyi ndo wakoloni wenyewe?
 
Some words of wisdom for your birthday babu Asprin, "Smile while you still have teeth!":smile-big:

HaPi BeSidei
 
aisee hapo juu punguzeni speed ya hii thread,
au ninyi ndo wakoloni wenyewe?
Hivi nani kapewa jukumu la Logistic za Leo? Babu lazima Aifurahie siku yake leo....
 
Happy birthday dude.... pata bia tano kwa bili yako, nikitoka Musoma ntakuletea samaki aina ya nembe :A S 39:
 
Jukuuz za kiume huthubutu hata kuuza baiskeli yako mwenyewe...yanataka yairithi eti... ukichelewa kufa hayachelewi kukuua.
Jukuuz za kike zikishaolewa, zinagawana na babu wanavyopewa na waume zao.
Mi nashukuru Mungu kwa kunipa them geloz jukuuz

umeona eeeeeeeeeeee babu, halafu leo unatakiwa unywe kwa staili hii

MJ1 usisahau kuja na pampas mtoto hatakiwi kunyanyuka kabisa leo . Ni mwendo wa kitoto toto tu sasa babu ole wako uamke kucheza kiduku
 
aisee hapo juu punguzeni speed ya hii thread,
au ninyi ndo wakoloni wenyewe?

we nawe bana siku hizi umekua mkaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii ka pili pili, hebu nambie sherehe ya babu yafanyika wapi nifanye booking abood
 
Happy Birth Day Babu Asprin,

Ningependa kuchukua fursa hii na kusema kuwa miyaka inavyo zidi kuongezeka na capacity ya kunyuwa ze lager ina pungua.. Kwa hiyo nigependa kuku zawadia kinywaji kimoja kati ya hivi.

Enjoy your coming year...
 
Attachments

  • Bar_ya_nyumbani.jpg
    101.6 KB · Views: 22
Happy Birth Day Babu Asprin,

Ningependa kuchukua fursa hii na kusema kuwa miyaka inavyo zidi kuongezeka na capacity ya kunyuwa ze lager ina pungua.. Kwa hiyo nigependa kuku zawadia kinywaji kimoja kati ya hivi.

Enjoy your coming year...

Patia yeye vyote, but kabla hajaanza kunywa... funga yeye pampers
 
I LIKE THIS....well,let's take it this way...I MISS THIS SIGNATURE:
You don't have to win every argument. Agree to disagree

I
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…