Dear Babu Asprin...

What a nice advise from a classmate!!

Babu atauzingatia ushauri wako...

And thats a promise!
 
Ndio kusema leo hautualiki babu

Si unaona mjukuu anasema eti mi mtanipa madhiwa wakati nyie mkilipa kodi TBL/SBL?
Kwa ijumaa hii hapana, labda jumatatu ntavumilia.
 
Si unaona mjukuu anasema eti mi mtanipa madhiwa wakati nyie mkilipa kodi TBL/SBL?
Kwa ijumaa hii hapana, labda jumatatu ntavumilia.

thatha mbona hujatwambia tunakutana wapi kuja kukupongeza? au unaenda na mjukuu origino pekee?
 
thatha mbona hujatwambia tunakutana wapi kuja kukupongeza? au unaenda na mjukuu origino pekee?

Hahahaha...wewe bana, babu si mbaguzi. lokesheni mtaesiemsiwa bana!
 
Hahahaha...wewe bana, babu si mbaguzi. lokesheni mtaesiemsiwa bana!

Babu mbaguzi bana, c wa mbali tushachelewa usafiri ngoja tusubiri ya mwakani maana uku usalalule hakuna ndege
 
Babu mbaguzi bana, c wa mbali tushachelewa usafiri ngoja tusubiri ya mwakani maana uku usalalule hakuna ndege
Usijali utawakilishwa na bibie Cleaner!!
 
thatha mbona hujatwambia tunakutana wapi kuja kukupongeza? au unaenda na mjukuu origino pekee?

Afu wewe mbona we una wivu sana??? Wote tunajua Birthday ya Babu mbona hukuanza kumpongeza?? Kwenu hakuna heshima kwa mkubwa eh??

Sijui niibinafsishe??.........Babu.ukimaliza Africana mjukuu origino amekuandalia dinner........just the TWO of us.............mimi na wewe tu.
 
Happy Birthday Rafiki. Mungu akupe maisha marefu zaidi................ tunakupenda sana rafiki!
 
Hahahaaaaaaa mi nilijua tu ulikua unatafuta sababu usherehekee peke yako na babu. Ngoja nimpigie simu bibi amkatalie babu kutoka leo.

Mzima lakini mama.
 
Mi nilikua nasubiri ifike saa sita usiku ianze cku mpya ndio nimtumie, umeona muda uliotuma saa sita kasoro ulijua tu kuna competition hapa, mjanja sana wewe haya bana umeshinda lol
 
Hahahaaaaaaa mi nilijua tu ulikua unatafuta sababu usherehekee peke yako na babu. Ngoja nimpigie simu bibi amkatalie babu kutoka leo.

Mzima lakini mama.
MAmito mie ni mzima kabisa yaani niko gado............. hivi kuna sheria inayosema mjukuu ni lazima abakie kuwa mjukuu tu??

Nina wishes kibao mamito
Vipi Savoy......................sijui nizuke weekend hii??
 
Happy birthday Dear Babu. Busara tele najua zinazidi kuongezeka, tutafaidika wajukuu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…