Dear Baby, Ukiniomba tu hela basi mimi na wewe tumemalizana..!!!

Jibu meseji hizo mwambie huna pesa kama anakupenda atakuelewa na atakuvumilia
 
Namsapoti mleta mada 100%, anayepewa matunzo ni mke au mzazi mwenzangu, hawara analipwa kwa huduma anayotoa.

Ishi na hii kanuni ewe kijana, usije ukaanza kulaumu watu ukifika 45+ kwa makosa yako, maisha hayarudi nyuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…