..wengine tunaiangalia habari huu kwa kuzingatia mtiririko wa habari za huko nyuma.
..zaidi, maelezo ya ndani ya habari yanazungumzia Kenya, tofauti na kichwa cha habari kinachojumuisha East Africa.
..vilevile, mbona matukio ya ugaidi yalipotokea Uganda, Burundi, Zanzibar[hawapendi kujitambulisha kama wa-Tz] magazeti ya Kenya hayakuhusisha tukio hilo na Afrika Mashariki nzima?
..Kuhusu kumuangukia Kagame ili atoe msaada wa Kijeshi, hata mimi naunga mkono wazo hilo. Kwa kuanzia, East African Standby Force ambayo inahusisha Rwanda, ipelekwe ndani ya Somalia kusafisha mabaki ya Al Shabaab.