msemakweli
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 1,627
- 880
- Thread starter
-
- #21
Mnh...hapo hata mimi ningeumbuka!Hukohuko channel ten nilimsikia mtangazaji akisema mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama Tanzania ni Major General badala ya General akidhani Major General ni Mkubwa kuliko General.
Inamaanisha habari zetu hazijulikani sana kwao...
Hahahahaaaa! Hata mimi nlishangaa!"Arnolda"!! Dahh! Hii itakuwa baba mtu kafosi jina lake la kwanza kwa binti yake.
kama kawaida yako! naona unataka kuanzisha ligi nyingine wakati wahusika ambao ni ndugu zetu wakikenya wanaombeleza... kuna kosa gani kuandika EA kwani haukumbuki waliyoyafanya Uganda, tindi kali kule zenji au onyo walilolitoa kwa warundi? hawa jamaa ni majanga kama vile kina jMali, mi naoana huu ni wakati muafaka wa kuomba msaada kwa Kagame, kufikia usawa huu, ni yeye pekee ndiye ameshatuonyesha uwezo wa kudhibiti wauwaji wa namna hii...
kama kawaida yako! naona unataka kuanzisha ligi nyingine wakati wahusika ambao ni ndugu zetu wakikenya wanaombeleza... kuna kosa gani kuandika EA kwani haukumbuki waliyoyafanya Uganda, tindi kali kule zenji au onyo walilolitoa kwa warundi? hawa jamaa ni majanga kama vile kina jMali, mi naoana huu ni wakati muafaka wa kuomba msaada kwa Kagame, kufikia usawa huu, ni yeye pekee ndiye ameshatuonyesha uwezo wa kudhibiti wauwaji wa namna hii...
..wengine tunaiangalia habari huu kwa kuzingatia mtiririko wa habari za huko nyuma.
..zaidi, maelezo ya ndani ya habari yanazungumzia Kenya, tofauti na kichwa cha habari kinachojumuisha East Africa.
..vilevile, mbona matukio ya ugaidi yalipotokea Uganda, Burundi, Zanzibar[hawapendi kujitambulisha kama wa-Tz] magazeti ya Kenya hayakuhusisha tukio hilo na Afrika Mashariki nzima?
..Kuhusu kumuangukia Kagame ili atoe msaada wa Kijeshi, hata mimi naunga mkono wazo hilo. Kwa kuanzia, East African Standby Force ambayo inahusisha Rwanda, ipelekwe ndani ya Somalia kusafisha mabaki ya Al Shabaab.
Unaquote post ndefu hivo afu unatoa less!
Unatujazia Page bure
jipange next timekwa hiyo!
Mkuu Kenya wanataja EAC ili eneo lote lionekane halifai. Mashambulizi yametahiri sana utalii na nchi nyingi zimetoa tahadhari kwa wasafiri wake. Hivyo, Kenya inatumia jina la EAC ili iwe ni kwa ujumla..hata The East African Magazine wamekuja na headline " Why EAST AFRICA is a target of emboldened Al Shabaab" wakati huu ambapo shambulizi limetokea Kenya!!
..hawa ndugu zetu wana michezo michafu sana. kwa kweli kuishi na kushirikiana nao kunahitaji uvumilivu wa hali ya juu kabisa.
Mkuu Kenya wanataja EAC ili eneo lote lionekane halifai. Mashambulizi yametahiri sana utalii na nchi nyingi zimetoa tahadhari kwa wasafiri wake. Hivyo, Kenya inatumia jina la EAC ili iwe ni kwa ujumla
Umeona yaliyotokea Garissa, inashangaza watu waliokamatwa ni 5 na yupo 'inasemekana' mtanzania kwa jina la Rashid Charles Mberesero.
Katika wary 4 wanaoshikiliwa, hakuna aliyetajwa isipokuwa Mberesero tena Kenya wakishadidia ni Mtanzania
Neno Tanzania wamelitumia sana ili kuonyesha ubaya
Gaidi ni gaidi anaweza kuwa Mtanzania au mtu wa taifa lolote.
Nadhani Kenya wanapaswa kuhanganika na magaidi na ugaidi na wala si pale wanapotoka.
Nilitarajia Kenya wangewasiliana na vyombo vya ulinzi vya Tanzania ili kumbana Mberesero wanayesema alikutwa na grenade ili watuhumiwa zaidi wapatikane kutoka pande zote
Kinyume chake, Kenya wanatafuta excuse kwa kudhani kuitaja Tanzania kutasaidia hali ilivyo
Ni wagumu sana kuishi nao
go thereThis is CNN
hata kama hazijulikali lakini siyo kuwa shallow kiasi hikiInamaanisha habari zetu hazijulikani sana kwao...
Haya ni makosa yakimkakati. Wanachotaka ni kuichafua na Tanzania.... Mwambene upo?