Kama wewe muhusika unafanya siri, why Mimi niweke hadharani? π π πKaka yawezekana kuna kitu unakijua halafu mimi mhusika sikijui.
Haya nifungue masikio chap ndugu yangu
Uvccm au sio π π πHamna mshangazi unamiliki vits, yani hata kama ana 50 ana vits huyo ni uvccm tu π€£π€£π€£π€£
Tatizo miumbea ya huko pm na magroup inawapa habari za uongo basi bila hiyana mnaishikia bangoππKama wewe muhusika unafanya siri, why Mimi niweke hadharani? π π π
Lisemwalo lipo....acha nikae kimya kwanza
Demi ??? Kama ni huyu umejipataaa shida zako zote sahau na hana harrier huyu anapendeleaga range tu.Uvccm au sio π π π
Anyways, hebu fanya kunipigia pande kwa yule shangazi mwenzio. Yule naona atanifaa, hana mambo mengi
Mimi huwa na observe sana, Wala siambiwi. Kwahiyo ninajua ninachokiongea π πTatizo miumbea ya huko pm na magroup inawapa habari za uongo basi bila hiyana mnaishikia bangoππ
ππkazi nzito sana
Tatizo sijapata wa kunituliza. Nikimpata, lazima nitulie πUnahangaikaππ
Kiuno changu kina mota ya asili, hivyo asiwe na wasi kabisa. Aje tu na range yake, sisi ni pipo mengine tutayajenga π πDemi ??? Kama ni huyu umejipataaa shida zako zote sahau na hana harrier huyu anapendeleaga range tu.
Muhimu funga mota hicho kiuno πΉ
Nikisema nimtaje, lazima utaukimbia Uzi wako. Maana right now najua unahisi nakutania π πSasa kama mimi mhusika sijakwambia na wewe umeanza kutunga story zako za kusadikika huoni kuwa huo ni umbea wa kiwango cha juu sana kakaπ
Safi shem darling, upo mjini?Mambo Shem darling wangu
Sasa kama mimi sijakwambia kwamba ndie huyo kwanini wewe uanze kuhisi ndie?kwanini nikimbie uzi kaka?huyo utakaemtaja atakuwa ni wakwako mimi sitohusika ndugu mtanzania mwenazangu π₯³π₯³Nikisema nimtaje, lazima utaukimbia Uzi wako. Maana right now najua unahisi nakutania π π
Sawa dada , nimekuelewa π π πmimi sitohusika ndugu mtanzania mwenazangu π₯³π₯³
Nimerudi nipo mjini shem darlingNilikuwepo shem darling wiki kama moja hivi imepita lakini nimeshaondoka.
Bado uko nchi za watu?