Dear Crush nakusabahi, u hali gani?

Dear Crush nakusabahi, u hali gani?

Kama wewe muhusika unafanya siri, why Mimi niweke hadharani? πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Lisemwalo lipo....acha nikae kimya kwanza
Tatizo miumbea ya huko pm na magroup inawapa habari za uongo basi bila hiyana mnaishikia bango😁😁

😁😁kazi nzito sana
 
Mimi huwa na observe sana, Wala siambiwi. Kwahiyo ninajua ninachokiongea πŸ˜…πŸ˜…
Sasa kama mimi mhusika sijakwambia na wewe umeanza kutunga story zako za kusadikika huoni kuwa huo ni umbea wa kiwango cha juu sana kaka😎
 
Nikisema nimtaje, lazima utaukimbia Uzi wako. Maana right now najua unahisi nakutania πŸ˜…πŸ˜…
Sasa kama mimi sijakwambia kwamba ndie huyo kwanini wewe uanze kuhisi ndie?kwanini nikimbie uzi kaka?huyo utakaemtaja atakuwa ni wakwako mimi sitohusika ndugu mtanzania mwenazangu πŸ₯³πŸ₯³
 
Back
Top Bottom