Dear Crush nakusabahi, u hali gani?

Dear Crush nakusabahi, u hali gani?

Dear crush ninakusabahi nikiwa nyuma ya keyboard,uhali gani?🥰🥰

Nikiuona mwandiko wako basi roho yasuudhika barabara(jamani mniombee)😊😊hallelujah.

Usivyopenda malumbano🥰🥰 ndio kabisaaaaa😍😍.

Wana jf mkianza kunifokea tafadhali mpunguze sauti msije mkanikatisha ndoto yangu buree🥳🥳.
Intriguing!!!!!Who's the lucky one?
 
Back
Top Bottom