KIJICHO PEVU
Member
- May 4, 2024
- 69
- 49
Mama, Amiri Jeshi Mkuu, Mheshimiwa Rais na Mwenyekiti wangu wa chama Dk Samia Suluhu Hassan. Kawe kuna Mbunge anaitwa Gwajima.
Anajiita Askofu na ana kanisa lake. Huwa anajinadi kuponya vilema na kufufua wafu japo hataki kwenda Muhimbili kuponya walemavu wala makaburini kufufua.
Mwigizaji pia aliyewahi kujirekodi sinema ya utupu.
Huyu pia ni mdini aliyewahi kutukana waislamu, mzandiki aliyepata ubunge kwa uongo, hila na fitna hata za kutishia uhai wa watu. Mwanzo alizunguka nchi nzima kukupamba, akaona wala hutaki sifa zake.
Anachofanya sasa ni kujaribu kuitisha Mamlaka na hata vyombo vyetu vya ulinzi na usalama na chama. Anataka kutumia vitisho ili apate tena uteuzi wa chama kugombea Kawe pamoja na feva nyingine.
Siasa za kutishia Mamlaka hatuzitaki kwani ni hatari kubwa kwa nchi. Tunataka siasa za kufanya kazi ya wananchi, maadili na utii. Anachokifanya ni utapeli na nachelew kusema anaweza hata kuwa jasusi wa maadui wa nchi yetu.
Kwa uwazi kabisa Mheshimiwa Rais na vyombo vya ulinzi na usalama nakuombeni sikilizeni kauli zake kwa tahadhari kubwa.