Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Nakwambia tupo njiani now, au unataka akukute na kanyelamumo lakoWacha we!! Sasa hivi siandai hadi nione matokeo maana nishachoka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakwambia tupo njiani now, au unataka akukute na kanyelamumo lakoWacha we!! Sasa hivi siandai hadi nione matokeo maana nishachoka.
Mmmmmh!!! Haya bwana,ngoja niwasubiri.Nakwambia tupo njiani now, au unataka akukute na kanyelamumo lako
Mna maksudi nyie...Very tempting...my regards to her too Heaven Sent . I have not seen her here for a while though!! All the best buddy!!!
Ulipotelea wapi?Hujawahi kuniangusha
wewe ni mlima Sayuni...
Shikamoo Bi' mkwe!Ulipotelea wapi?
Naota au...Kumbe we wamuoelea nani? Usiniambie nina mkwe mpya!!!!
Khaaa em tulia uletewe kitu amazing
Ghrrrrrrr....Wewe unamuongelea yule mwanasiasa mzee wa promisless?
Marahabaaaa mkwe wangu wa ukweli,usianzishe vurugu, binti pamoja na kuhangaika kote bado haujapata mbadala.Shikamoo Bi' mkwe!
ngoja nipitie comment
za nyuma kabla sijaanzisha vurugu...
Haha jamani wewe mamaMkwe usitie hofu, hizo mbwembwe tu, si unajua dota kila siku anakuona mpya! Kanirusha roho weee mwisho anakuja kuniambia 'mama sijaona kama Benny'.
Marahabaaaa mkwe wangu wa ukweli,usianzishe vurugu, binti pamoja na kuhangaika kote bado haujapata mbadala.
Hapana mkwe, si ulipotea ghafla binti akaanza kuniletea mapicha picha, am glad yo back, hebu fanya kweli sasa.Mkwe wangu hapa kama
unanipanga kabisa kule
kulinifurahisha ila
huku kumeniumiza
Abee mwanangu kipenzi!!Haha jamani wewe mama
Mkwe najikaza kiume...Wewe unamuongelea yule mwanasiasa mzee wa promisless?
Mambo si ndio hayo sasa,maana kuniletea wachimba chumvi tu ulizidi. Kwakweli acha tu nitulie[emoji12] [emoji12]
[emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126]Hapana mkwe, si ulipotea ghafla binti akaanza kuniletea mapicha picha, am glad yo back, hebu fanya kweli sasa.
Abee mwanangu kipenzi!!
Mkwe bora umerudi maana nilichoshwa na wachimba chumvi, we ndio wa ukweli.Mkwe najikaza kiume...
Hebu mfanye mchakato haraka.[emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126]
hakupaswa hataMkwe bora umerudi maana nilichoshwa na wachimba chumvi, we ndio wa ukweli.
naweka wapi uso wanguHaha jamani wewe mama