Dear John, I forgive you

Nimefurahi sana inatakiwa tuwe na maneno ya kufariji.

Mungu akubariki sana.

Pumzika kwa amani JPM.
 
BAK Lisu naye kaandika obituary moja matata sana. Amepiga spana za hatari. Hebu tuletee maana nimeisoma sehemu nikashindwa kuicopy nilete hapa.
 
Reactions: BAK
Reactions: BAK
Bahati mbaya hatujui dini au dhehebu la Mungu.
 
Huu ndio utu, sio kukomaa kurusha kejeli matusi na masimango Mungu akubariki sana njia yetu ni moja
 
Bahati mbaya hatujui dini au dhehebu la Mungu.
Luka 16:13-31 Ibrahimu alimwambia tajiri aliye motoni, kama ndugu zako hawakumuamini Musa na mitume wengine hatakaa waamini.
 
^Tanzania, Tanzania nchi yenye mali nyingi, watu wengi wa Ulaya wanaililia sana!^
 
Tujiandae kifo Chema
Msamaha hupatikana aliyekosa akiomba msamaha kama hakuomba ni msamaha hewa
Mungu ndiye ajuaye siri za mioyo yetu
Tujiwekee hazina mbinguni kwa kutenda yampendezayo Mungu hivo tu
 
Kwaresma za vatican ni ubatili, Yesu hakuwa Mzungu, Lucifer alibadilisha kalenda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…