Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Hapana..ni nani huyo mkuu?mtoa mada umesoma alichoandika Kitulike ?
Sio kweli..sema nyie mnaowataka kwa wingi ndio wanafanana tabia zaoMnafanana
Hapana mkuu..yule anamatatizo yakeNadhani utakua unazungumza na kritika!
anasema eti una kibamiaHapana..ni nani huyo mkuu?
Haha sio kwelWanaume baba enu mmoja.
Mnasema sisi wote ni washenzi.....nakataaaaWatu wamevurugwa jamani,..mmh!!![emoji124][emoji124][emoji124]
Wanawake mwalimu wenu mmoja. Tena ni kipofuWanaume baba enu mmoja.
Sio wote ndio,lakini katika mia...mmoja ndio kidooooogooo anaweza kuwa na imani shem[emoji4]Mnasema sisi wote ni washenzi.....nakataaaa