Dear ladies

Dear ladies

Tatizo ni Post Traumatic syndrome ya kutendwa mfululizo 😀😀😀
 
Kama huyo mtu wako kakuumiza, usije huku na kuanza kutuambia, "wanaume wote au wanaume wote wa kitanzania ni washenzi", we kua tu specific mfano " hazard cfc wa nyumba na 345 kijiji flani/mtaa flani mwenye namba 07****** ni mshenzi".

Leave innocent men out of your bad experience aisee
 
Back
Top Bottom