Kama huyo mtu wako kakuumiza, usije huku na kuanza kutuambia, "wanaume wote au wanaume wote wa kitanzania ni washenzi", we kua tu specific mfano " hazard cfc wa nyumba na 345 kijiji flani/mtaa flani mwenye namba 07****** ni mshenzi".
Leave innocent men out of your bad experience aisee