klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,145
you must be joking! right? mistari unayoshuka halaf unasema hujawahi andika mistari. NO WAY!Mkuu kloro yaani nimejikuta suddenly nime-fall in love na mashairi sikuwahi kuandika mashairi maishani mwangu lakini niliamini naweza na nilipojaribu kuandika nimejikuta niko in love
So the talent was hiding inside u, sasa naomba ujiamini kwasababu uko juu vibaya sana kwenye hii fani hata nimeanza kukuogopa. Pia am glad kusikia kwamba nimekuwa part ya inspiration kwako.trust me sijawahi kuandika,I was so much inspired na lile shairi lako la mapenzi(from me to you) nikasemani jaribu
you must be joking! right? mistari unayoshuka halaf unasema hujawahi andika mistari. NO WAY!
trust me sijawahi kuandika,I was so much inspired na lile shairi lako la mapenzi(from me to you) nikasemani jaribu
poa poa kamanda, tupo na yakuonea hapa! acha tukaone soda ya ngabuNambie mkuu...dah nilibanwa na majukumu wazee ila weekend hii sio nzuri kwangu...hahahaha ngoja nilambe soda bila mrija mie kwa NG.....
poa poa kamanda, tupo na yakuonea hapa! acha tukaone soda ya ngabu
Yuko juu sana aisee! acha mods watupe uwanja bana! naamini wengi wana hiki kipaji humu but tatizo hatuna uwanja wa nyumbani. Acha nilog out mkuu mida za kwenda kuchukua ng'ombe malishoni zimewadia.yakuonea mkali nimeona malai yake si mchezo....
Mkuu upo juu kinoma kwa mistari...keep in up..ila mods katubania hapa katunyima uwanja tujirushe....umekunywa soda ya Nyani Ngabu lakini? ndoja mie niimendee bila Mrija na weekend hii itakuwa si mchezo
Yuko juu sana aisee! acha mods watupe uwanja bana! naamini wengi wana hiki kipaji humu but tatizo hatuna uwanja wa nyumbani. Acha nilog out mkuu mida za kwenda kuchukua ng'ombe malishoni zimewadia.
Kloro huu ufagio unaonipa sijui ni ukubali au laa..., bado najifunza na ndo maana nilimwandikia shairi twin brother wako(Asprin) Kumwambia mimi ni mwanafunzi na yeye ni mwalimu wangu, ningepata vitabu vya fasihi labda vingenishaidia zaidi, lkn huku niliko kaazi kweli kweli hakuna sehemu ninayoweza kuvipata,
Yuko juu sana aisee! acha mods watupe uwanja bana! naamini wengi wana hiki kipaji humu but tatizo hatuna uwanja wa nyumbani. Acha nilog out mkuu mida za kwenda kuchukua ng'ombe malishoni zimewadia.
Mkuu komaa tu hamna mwenye kitabu hata sisi tunakomaa tu, kiswahili kitamu sana mzee....kungekuwa na kitabu unahani hizo nenos zingekuwa zinasomeka?
Mkuu kipaji chako ni cha asili wewe kitumie tu na kukifanyia mazoezi mwisho utajikuta wewe ndio unatunga kitabu.Kloro huu ufagio unaonipa sijui ni ukubali au laa..., bado najifunza na ndo maana nilimwandikia shairi twin brother wako(Asprin) Kumwambia mimi ni mwanafunzi na yeye ni mwalimu wangu, ningepata vitabu vya fasihi labda vingenishaidia zaidi, lkn huku niliko kaazi kweli kweli hakuna sehemu ninayoweza kuvipata,
Mkuu kipaji chako ni cha asili wewe kitumie tu na kukifanyia mazoezi mwisho utajikuta wewe ndio unatunga kitabu.
So the talent was hiding inside u, sasa naomba ujiamini kwasababu uko juu vibaya sana kwenye hii fani hata nimeanza kukuogopa. Pia am glad kusikia kwamba nimekuwa part ya inspiration kwako.