Magulumangu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2010
- 3,051
- 461
- Thread starter
-
- #81
Asprin yuko wapi, maana alipita hapa akaahidi kurudi sikumuona tena, mkuu magulumangu leo sijakusikia kabisaaa......lkn poa nipo klorokwini
Asprin yuko wapi, maana alipita hapa akaahidi kurudi sikumuona tena, mkuu magulumangu leo sijakusikia kabisaaa......lkn poa nipo klorokwini
sasa mkuu waja,
we noma,
kipindi kama mwaja,
si wakoma,
rusha mzee tu unguja,
si msoma,
Amejariwa yeye mwana,
kinoma,
jina le lina maana,
si kama,
Alianza kwa maana,
na tama,
I wish we could read what is dedicated to father!
Sasa tiba tuongeze
wa ganzi atuongoze
Kamba tusiilegeze
Hii fani tueneze
Kikosi kiko kamili
Tukikuze kiswahili
Fani tuwe mafahali
Magulu mwaga ngeli
Jukwaa watupatie
Nasi tujifarague
Wapya tuwaibue
Wakongwe tuwafufue
Ganzi wapi sasa,
isije kuwa msasa,
wote tuna hamasa,
Ganzi lete mambo,mwana wa sindano,
atake asitakae kudungwa,
hata usiye taka kupimwa,
mwiite mwana mpwa,
Ganzi lete mambo,mwana wa sindano,
yeye ndo mwenye jina,
klokwini na magu tu wajina,
aspini pinile mwana,
Ganzi lete mambo,mwana wa sindano......
Ganzi anajiandaa, kuleta kibao kipya
Ameshakuwa staa, fani anaichachafya
Sindano hii balaa, unazima ikibofya
Tiba sasa mezagaa, tupate njema afya
Naona haonekani, pengine ni majukumu
Yeye na aspirini , siwezi kuwalaumu
Namimi sijui lini, itakuwa yangu zamu
Maisha haya mjini, kwahakika ni magumu
mkuu huyu yakuonea kala kona nini? hahahahaha lkn tutamtafuta mpaka apatikane.....