Dear men and women, Age is not just a Number.

Si kila binti lazima aolewe, si kila kijana wa kiume lazima aoe.
 
Age ain't nothing but a number....throwing down ain't nothing but a thang...
Refer Reginald Mengi na Jacquiline Ntuyabaliwe Mengi
 
Kuna wanawake wakipenda acha kabisa hata ukimwambiaje

Nakumbuka kuna binti nilimwambia kabisa tena wakati namtongoza nkamwambia nataka tuburudike tu lkn sikuoi kabisa


Nilifanya hivo kwa sababu sikuwa na dhumuni la kumuoa na sikupenda zinaa . Lkn cha kushangaza kesho yake akanishika mkono skaniambia nakupenda

Nilishindwa kumsoma nikazuga kinyama lkn akawa ananifuata hadi so nikaona niepushe ngoja nimkunje tena kwa raf game maana magem ya kibabe nayaweza . Mamaaa ndo nkaupandisha mchwa juu na nyumba ya nyasi acha kabisa msichana kaniganda kama wauza ganda wanavomganda makonda na bashite

Nilifanikiwa kumwacha lkn mpaka leo huwa ananisumbua na kunilaum kwa nn sikumuoa ila ni singo mather kwa sasa anapesa yake mambo yamenyookea

Wanawake akiamua hata kwa manati hatoki
 
Ni kweli kabisa.... Lakini hii umecopy mahali ...hua napenda kuchangia mijadala ya MTU aliyetoa mawazo Yake kichwan....
NOTE : copying lower creativity
 
teh teh! yani kama iyo ishu inakutoa wew ungemfanyia madhambi mpaka shetani anakuonea gere!!
 
Kuna ukweli hapa
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…