Dear men and women, Age is not just a Number.

Si kila binti lazima aolewe, si kila kijana wa kiume lazima aoe.
 
Age ain't nothing but a number....throwing down ain't nothing but a thang...
Refer Reginald Mengi na Jacquiline Ntuyabaliwe Mengi
 
Hello members!
Habari za Kazi na majukumu mengine!!!! Poleni na mihangaiko na misukosuko ya wiki nzima. Ni matumaini yangu mu wazima kabisa wapendwa.
Okay, Kama una date na binti wa umri wa kuanzia miaka 23 kuendelea na hauna mpango wa kumuoa fanya jambo la kiungwanana kumuambia ukweli.
Sikuambii umuambie kua humtaki na hutaki kuoa bali muambie kua wewe si muoaji na unaona kama utampotezea muda wake bure na kuja kumuumiza.
Ongea kiungwana na ikishindikana muache hata kibabe. Hii ni kwasababu mwanamke anawekeza vitu vingi katika mahusiano, anawekeza akili yake, mali zake, hisia na kubwa kabisa anawekeza umri wake katika mahusiano
Unampunguzia uwezekano wa kukutana na mtu sahihi kwa kuendelea kumdanganya. Kwa Mwanamke, Age is not just a Number Age is Everything
Wakati ukimuacha wewe utatafuta Binti mdogo zadi yake, yeye atalazimika kutafuta Kijana mwenye Umri Mkubwa zaidi yake. Ndiyo ilivyo sote Wanaume na Wanawake huangalia Umri katika Mahusiano.
Ukimchezea na kumuacha akiwa katika Umri wa Miaka 30, inamaana atafute kijana mwenye Umri kuanzia Miaka 32 ambaye bado ni Single.Wako wachache sana wa namna hiyo, sisemi kua hawezi kupata, hapana Nasema utampa Wakati Mgumu na Uhuru wa Kuchagua.
Kuna Umri ambao Mabinti wengi huamua Kuolewa tu, si kwasababu ya Mapenzi bali kwakua hawana namna wanaona kusubiri Mtu Sahihi watapishana na Kalenda
Badilika, haikufanyi Mwanaume zaidi kwa kumpotezea Binti wa watu Miaka Mitano halafu unamuambia Wewe si Type yangu. Fanya jambo la Kiungwana na Malizaneni Mapema. Lakini najua kuna Mabinti ambao hawasikii wakiambiwa kuwa mambo yameisha, Mlazimishe asikie na Usimtumie na Kumuumiza kwakua anakupenda.
Women have many possibilities from 12 to 24, but from 25 and above,the graph starts to fall down whether they like it or not,

Dear,Women ,men love by reasons.

Mungu awabariki na nawatakia weekend njema,, weekend muruaaaaaa wapendwa.
Kuna wanawake wakipenda acha kabisa hata ukimwambiaje

Nakumbuka kuna binti nilimwambia kabisa tena wakati namtongoza nkamwambia nataka tuburudike tu lkn sikuoi kabisa

Nilifanya hivo kwa sababu sikuwa na dhumuni la kumuoa na sikupenda zinaa . Lkn cha kushangaza kesho yake akanishika mkono skaniambia nakupenda

Nilishindwa kumsoma nikazuga kinyama lkn akawa ananifuata hadi so nikaona niepushe ngoja nimkunje tena kwa raf game maana magem ya kibabe nayaweza . Mamaaa ndo nkaupandisha mchwa juu na nyumba ya nyasi acha kabisa msichana kaniganda kama wauza ganda wanavomganda makonda na bashite

Nilifanikiwa kumwacha lkn mpaka leo huwa ananisumbua na kunilaum kwa nn sikumuoa ila ni singo mather kwa sasa anapesa yake mambo yamenyookea

Wanawake akiamua hata kwa manati hatoki
 
Hello members!
Habari za Kazi na majukumu mengine!!!! Poleni na mihangaiko na misukosuko ya wiki nzima. Ni matumaini yangu mu wazima kabisa wapendwa.
Okay, Kama una date na binti wa umri wa kuanzia miaka 23 kuendelea na hauna mpango wa kumuoa fanya jambo la kiungwanana kumuambia ukweli.
Sikuambii umuambie kua humtaki na hutaki kuoa bali muambie kua wewe si muoaji na unaona kama utampotezea muda wake bure na kuja kumuumiza.
Ongea kiungwana na ikishindikana muache hata kibabe. Hii ni kwasababu mwanamke anawekeza vitu vingi katika mahusiano, anawekeza akili yake, mali zake, hisia na kubwa kabisa anawekeza umri wake katika mahusiano
Unampunguzia uwezekano wa kukutana na mtu sahihi kwa kuendelea kumdanganya. Kwa Mwanamke, Age is not just a Number Age is Everything
Wakati ukimuacha wewe utatafuta Binti mdogo zadi yake, yeye atalazimika kutafuta Kijana mwenye Umri Mkubwa zaidi yake. Ndiyo ilivyo sote Wanaume na Wanawake huangalia Umri katika Mahusiano.
Ukimchezea na kumuacha akiwa katika Umri wa Miaka 30, inamaana atafute kijana mwenye Umri kuanzia Miaka 32 ambaye bado ni Single.Wako wachache sana wa namna hiyo, sisemi kua hawezi kupata, hapana Nasema utampa Wakati Mgumu na Uhuru wa Kuchagua.
Kuna Umri ambao Mabinti wengi huamua Kuolewa tu, si kwasababu ya Mapenzi bali kwakua hawana namna wanaona kusubiri Mtu Sahihi watapishana na Kalenda
Badilika, haikufanyi Mwanaume zaidi kwa kumpotezea Binti wa watu Miaka Mitano halafu unamuambia Wewe si Type yangu. Fanya jambo la Kiungwana na Malizaneni Mapema. Lakini najua kuna Mabinti ambao hawasikii wakiambiwa kuwa mambo yameisha, Mlazimishe asikie na Usimtumie na Kumuumiza kwakua anakupenda.
Women have many possibilities from 12 to 24, but from 25 and above,the graph starts to fall down whether they like it or not,

Dear,Women ,men love by reasons.

Mungu awabariki na nawatakia weekend njema,, weekend muruaaaaaa wapendwa.
Ni kweli kabisa.... Lakini hii umecopy mahali ...hua napenda kuchangia mijadala ya MTU aliyetoa mawazo Yake kichwan....
NOTE : copying lower creativity
 
Kuna mkaka alikaa na dada kwenye uhusiano na mwisho wa siku akaletewa kadi ya harusi eti huyo kaka anaoa mdada mwingine. Mdada alipata mshtuko, kumuuliza mwanaume akasema oooh samahani hatuendani kuoana...
Kudadeki!!! Ningemfanyia huyo mkaka kitu shetani anapenda.
teh teh! yani kama iyo ishu inakutoa wew ungemfanyia madhambi mpaka shetani anakuonea gere!!
 
Hello members!
Habari za Kazi na majukumu mengine!!!! Poleni na mihangaiko na misukosuko ya wiki nzima. Ni matumaini yangu mu wazima kabisa wapendwa.
Okay, Kama una date na binti wa umri wa kuanzia miaka 23 kuendelea na hauna mpango wa kumuoa fanya jambo la kiungwanana kumuambia ukweli.
Sikuambii umuambie kua humtaki na hutaki kuoa bali muambie kua wewe si muoaji na unaona kama utampotezea muda wake bure na kuja kumuumiza.
Ongea kiungwana na ikishindikana muache hata kibabe. Hii ni kwasababu mwanamke anawekeza vitu vingi katika mahusiano, anawekeza akili yake, mali zake, hisia na kubwa kabisa anawekeza umri wake katika mahusiano
Unampunguzia uwezekano wa kukutana na mtu sahihi kwa kuendelea kumdanganya. Kwa Mwanamke, Age is not just a Number Age is Everything
Wakati ukimuacha wewe utatafuta Binti mdogo zadi yake, yeye atalazimika kutafuta Kijana mwenye Umri Mkubwa zaidi yake. Ndiyo ilivyo sote Wanaume na Wanawake huangalia Umri katika Mahusiano.
Ukimchezea na kumuacha akiwa katika Umri wa Miaka 30, inamaana atafute kijana mwenye Umri kuanzia Miaka 32 ambaye bado ni Single.Wako wachache sana wa namna hiyo, sisemi kua hawezi kupata, hapana Nasema utampa Wakati Mgumu na Uhuru wa Kuchagua.
Kuna Umri ambao Mabinti wengi huamua Kuolewa tu, si kwasababu ya Mapenzi bali kwakua hawana namna wanaona kusubiri Mtu Sahihi watapishana na Kalenda
Badilika, haikufanyi Mwanaume zaidi kwa kumpotezea Binti wa watu Miaka Mitano halafu unamuambia Wewe si Type yangu. Fanya jambo la Kiungwana na Malizaneni Mapema. Lakini najua kuna Mabinti ambao hawasikii wakiambiwa kuwa mambo yameisha, Mlazimishe asikie na Usimtumie na Kumuumiza kwakua anakupenda.
Women have many possibilities from 12 to 24, but from 25 and above,the graph starts to fall down whether they like it or not,

Dear,Women ,men love by reasons.

Mungu awabariki na nawatakia weekend njema,, weekend muruaaaaaa wapendwa.
Kuna ukweli hapa
 
Back
Top Bottom