Hata mimi nimeshindwa kumwelewa, sio English yake bali kusudio. Nilifikiria labda kuna msichana hapa anaitwa Mishell, lakini hata huyo hayupo hapa. Labda alimkusudia Dada yetu Michelle. Sijui.
Hahaha lol
Tangu Dena arushwe(aanzishiwe thread)
Naona kila mtu anaona hii ndo njia ya kutongoza lok
safii lakini hiyo english my dear
ni kama vile umri type kwenye GOOGLE TRANSLATER
uka copy na ku pest ..Nice.
Asante sana dear lakini usinipandishe chati hivyo. You'll make my chicks red and I'm black.
Usiniogope Dada, hii imetokea kwa bahati tu.
Na zaidi, kama alivyosema Socrates, "I know nothing except the fact of my ignorance".
Ubarikiwe na ulale salama.
DA dear, don't niogopa hamna kitu. Kama yeye alivyo google na mimi nimegoogle pia, na kwa bahati nzuri with the first click!Ha ha ha mie pia nakuogopa ile mbaya maana umeipata hiyo mmmmhhh sitacopy kabisa naogopa ile mbaya....................
Jamani Chell kupotea hivo sio vizuri naomba utoe faini ya mia tano(fashion ya siku hizi) kwa usumbufu niliopata, nakubali hata photocopy ya hiyo hela lol!Ha ha ha ha,duh....ningefurahije....manake hiyo barua ina maneno matamu mno...ni siku nyingi sijaambiwa maneno mazuri hivyo....l.o.l
Only the best for our Mishell(Michelle).Kasopa this line has touched me How shall I ever prove what my heart is to you? How will you ever see it as I feel it?…
wether u have copied this letter or not; this is a fanatstic;sacred line............much appreciated
aisee, nikugongee thanks au groan? Groan sijajua maana yake lakini. Kama tusi utanirudishia mwenyewe.