"Dear nina shida na elfu 80 utansaidiaje" Duh! maisha yangekuwa easy kiasi hicho?

"Dear nina shida na elfu 80 utansaidiaje" Duh! maisha yangekuwa easy kiasi hicho?

Tuacheni utani,, wanaume wa siku hizi tunajitia aibu,,, kweli dada zangu wana kazi,, sasa mpenzi wako amekwama elfu 80 tu kumsaidia inshu,,, kweli nimeamini wanaume wanaisha,,

poleni sana dada zangu,,, kumpa mpenzi wako hela sio kosa muhimu awe na sababu inayoeleweka anaomba kwa ajili ya nini...

Elfu themanini tu mtu unatoka povu hadi kumtusi mtu jamii forums,, tena ameomba ubavu wako mnaolala wote kama mlivyozaliwa,, ukiumwa yeye ndo anakuuguza, ukiwa na stress ye ndo anakupa furaha,,,

Kusema kweli mmetudhalilisha jinsia me kwa hii post
thread ipo very open ndugu what if aloomba siyo mpenziwe. naamin angekuwa kaombwa na mpenziwe au mkewe thread ingosomeka vingine au asingeiweka.....
 
Sasa we umeombwa hiyo unalalamika je yule mwenye kuombwa kuanzia 1 M atasemaje?
We ndio mwenzake unataka akiwa na shida amuombe nani?
Akimuomba mwanaume mwingine, na akimpa utachekelea au timbwili utaanzisha?
Mahusiano ni kusaidiana....Wewe umsaidie akikwama na yeye aweze kukusaidia japo
Maisha ya sasa si mwanaume suruali bwana...Hata kijijini kwenyewe maisha yamebadilika.

Na tambua hata kama ni rafiki...Kuomba sio lazima KUKUBALI ndio maana anaanza na kuuliza kwanza...
Ingekuwa lazima mtu angekuambia NIPE.

Tatizo watu hawajui kuulizwa, kuombwa na amri...

Kama unaweza saidia saidia, kama huwezi mwambie siwezi sina aende pengine kutafuta...

*******************************

Hivi kwanini hawa watu hawakomi.

Kila siku kazi yao kupiga mizinga. Hivi kila mtu angekua akihitaji hela anaomba tu maisha si yangekuwa easy.

Watu tunapiga hustling za kufa mtu then jitu linakuja tu kuomba.
 
Mwanaume mbahili ni wa nini??? Papuchi yangu unaitaka tena oil tu unapima kama ya fiat! Nikikupa mechi ndio uwiiiiiiiiiiii kama unashuka kitonga kwa baiskeli inavyosimamia show! Halafu nikikuomba laki unakuja jf, unalalamikaaaaaa puuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu! Tupa kule, bora kuwa single tu! Copy gfsonwin
 
Last edited by a moderator:
nimeishia kucheka tuu mwali wangu

Back
Top Bottom