Mwe! sasa kama una baby wako mnapeana milioni kadhaa Mkata Kiu unamtamani wa nini tena? Au unamaanisha huyu baby wako ni wa kuzugia si mchumba?
thread ipo very open ndugu what if aloomba siyo mpenziwe. naamin angekuwa kaombwa na mpenziwe au mkewe thread ingosomeka vingine au asingeiweka.....Tuacheni utani,, wanaume wa siku hizi tunajitia aibu,,, kweli dada zangu wana kazi,, sasa mpenzi wako amekwama elfu 80 tu kumsaidia inshu,,, kweli nimeamini wanaume wanaisha,,
poleni sana dada zangu,,, kumpa mpenzi wako hela sio kosa muhimu awe na sababu inayoeleweka anaomba kwa ajili ya nini...
Elfu themanini tu mtu unatoka povu hadi kumtusi mtu jamii forums,, tena ameomba ubavu wako mnaolala wote kama mlivyozaliwa,, ukiumwa yeye ndo anakuuguza, ukiwa na stress ye ndo anakupa furaha,,,
Kusema kweli mmetudhalilisha jinsia me kwa hii post
Hivi kwanini hawa watu hawakomi.
Kila siku kazi yao kupiga mizinga. Hivi kila mtu angekua akihitaji hela anaomba tu maisha si yangekuwa easy.
Watu tunapiga hustling za kufa mtu then jitu linakuja tu kuomba.
Mwanaume mbahili ni wa nini??? Papuchi yangu unaitaka tena oil tu unapima kama ya fiat! Nikikupa mechi ndio uwiiiiiiiiiiii kama unashuka kitonga kwa baiskeli inavyosimamia show! Halafu nikikuomba laki unakuja jf, unalalamikaaaaaa puuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu! Tupa kule, bora kuwa single tu! Copy gfsonwin