Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,391
- 3,849
Dear Nyerere tunakukumbuka Baba yetu, ulale mahala pema peponi.
Baba PSSSF chini ya Serikali iliyopo madarakani haijatulipa MAFAO yetu sisi na ma Askari Polisi tulio staafu mwezi wa 11 Mwaka jana hadi leo hii tarehe 14/10/2021 zikiwemo na Nauli ambazo zipo kisheria kwamba tupewe turudi majumbani kwetu hazijalipwa Baba.
Kwani PGO inasemaje kuhusu malipo ya Askari walioumiza wananchi wasio na hatia?
Unaelewa maana ya fasihi!!mtia mada ametumia sanaaHii nchi kuendelea ni ngumu sana, yaani kuna tatizo badala wewe uliye hai utatue unamlilia mfu akusaidie.
"Je tuwaendee wafu kwa ajili ya walio hai?"