Dear our neighbours Kenyans

Ahaaa sasa mambo gani hayo ya kupiga ngumi za uso mpaka sura zinakuwa kama mapacha.
 
Ngumi zetu wenyewe zitamalizia kutumbua hayo mimacho
 
Hahaha! [emoji1] Ila sisi wakenya huwa hatuna muda wa kuzingatia yaliyopita. Champions wa Sportpesa Cup, Kariobangi Sharks watakuwa wanamenyana na timu ya Everton hivi karibuni.
 
nyie mlicheza mzuri sana...ila algeria walifunga tu magoli

i swear kwa mpira ule mtaifunga egypt pia...then mtachukua afcon you poor kenyans
Hahaha ilaa Tz jana tulicheza mpira kama wa ajabu sijawah kuona
 
Wacha tuwalime hawa senegal. Nina amini ya kwamba tutawashinda hatakama kwenye karatasi wanakaa kama wao ni bora kutushinda hii yote ni utamu wa spoti timu ndugu ikishinda timu kubwa kama tu vile leo nigeria na madagascar.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…