Dear Tanzanias, I'm certain Simba will be the new champion on Sunday so proud of my team

Dear Tanzanias, I'm certain Simba will be the new champion on Sunday so proud of my team

Yani ume dream na tayari umekuwa proud!?😂😂🤣Rage atembee kifua mbele
 
Yaani saa nne hii tu ushaanza ndoto nyevu nyevu, kufikia alfajiri si utakuwa ushashusha kimba kwa bed
 
Tunaposhabikia mpira tuwe tunatembea kwenye uhalisia; Kusema kweli kwa mtu anaye ujua mpira,Simba hawako "onfire" ,wamecheza takriban dakika 270 wamepata goli moja tu,na katika hizo 270 kuna dakika 90 walizicheza na Berkane hawakupata shot on target,kutukana na hiyo takwimu fupi ukiniuliza uwezekano wa Simba kuchukua ubingwa nitakuji au zaidi,bu kwamba haupo,hawawezi kuwa mabingwa,wako nyuma kwa goli mbili ambazo ili wawe mabingwa inawalaximu washinde goli 3 kwa sifuri au zaidi,kama kuna anayebibishia naomba tukutane hapahapa baada ya mechi ya marudiano.
 
IMG_20241122_162740.jpg
 
Back
Top Bottom