mwakani naolewa
Senior Member
- Jul 25, 2024
- 148
- 426
Mchezo wa watani wa jadi Simba na Yanga unatarajia kupigwa Oktoba 19 katika uwanja wa KMC comlex uliopo mwenge Dar es salaam, Imetolewa katika ratiba ya bodi ya ligi Tanzania (TPLB) leo inayoonyesha ratiba hiyo katika uwanja huo unaoweza kubeba mashabiki 6000 tu. Aidha pambano la Simba SC na Azam FC ambalo bado tarehe yake haijapangwa, litapigwa katika uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam.