mwakani naolewa
Senior Member
- Jul 25, 2024
- 148
- 426
Wanaumwa haoMchezo wa watani wa jadi Simba na Yanga unatarajia kupigwa Oktoba 19 katika uwanja wa KMC comlex uliopo mwenge Dar es salaam, Imetolewa katika ratiba ya bodi ya ligi Tanzania (TPLB) leo inayoonyesha ratiba hiyo katika uwanja huo unaoweza kubeba mashabiki 6000 tu. Aidha pambano la Simba CS na Azam FC ambalo bado tarehe yake haijapangwa, litapigwa katika uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam.
Mchezo wa watani wa jadi Simba na Yanga unatarajia kupigwa Oktoba 19 katika uwanja wa KMC comlex uliopo mwenge Dar es salaam, Imetolewa katika ratiba ya bodi ya ligi Tanzania (TPLB) leo inayoonyesha ratiba hiyo katika uwanja huo unaoweza kubeba mashabiki 6000 tu. Aidha pambano la Simba CS na Azam FC ambalo bado tarehe yake haijapangwa, litapigwa katika uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam.
Ratiba imepangwa kutokana na uwanja wa nyumbani wa mwenyeji. Acheni kuandika na kucomment kwa mihemko.Mchezo wa watani wa jadi Simba na Yanga unatarajia kupigwa Oktoba 19 katika uwanja wa KMC comlex uliopo mwenge Dar es salaam, Imetolewa katika ratiba ya bodi ya ligi Tanzania (TPLB) leo inayoonyesha ratiba hiyo katika uwanja huo unaoweza kubeba mashabiki 6000 tu. Aidha pambano la Simba CS na Azam FC ambalo bado tarehe yake haijapangwa, litapigwa katika uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam.
Kwani chandimu yetu itaanza rasmi lini?
Maombe ndio niniMsimu huu Young anachukua maombe yote
MakombeMaombe ndio nini