Ngoja nitawapaka hawa wachungaji wanaochunga matumbo yao!
...Baba
Naambiwa kuwa hawa jamaa hata nyumba walizokuwa wanaishi ni za kupanga seuse ofisi zao hakuna hata moja ambayo ni mali zao. Geukia movable properties napo hakuna labda wakafreeze zile kalamu, viti, meza na karatasi wanazotumia.
This is big time scandal.
Mbona GAVANA wa benki kuu (BOT) bwana BEN NDULLU umemsahau?
bila kumsahau KITILYA wa TRA ambayo walikuwa wanakusanya kodi huko DECI
hawa watu ni wajanja kuliko hata nyani! wamekula maliasili na hata kudiriki kubomoa majumba na kunyang'anya mashamba yetu eti kuna wafadhili/wawekezaji wanataka kujenga au kuwekeza kitu fulani. lakini unajiukiza mbona mashamba, majumba hata viwanda viliuzwa kwa bei che, eti kwa wawekezaji ambao nyuma yake kuna haohao vigogo. nasi hatujui ni halali yetu au la. Masikini watanzania wasioojulikana katika mifumo ya serikali nasema hatutakuja kufika kokote! labda ufanye jambo fulani (nunua pikipiki kwaa jili ya polisi nawe ufanye biashara yako kwa namna yoyote ile.
Kwa suala la deci tena watu wamevuna serikali ikiwa ya kwanza kujua maana ndo wakitoa leseni. ivi wanataka kusema wako mbali kiasi gani na hao wananchi waliopanda hata wakasubiri ifikie hapo. wao si wanaishi nasi na kama wanajua ni kitu halali si wangesema mapema. NADHANI HUU NI USANII MKUBWA. ok tutafika tu.
Kwa mara nyingine uhalifu wa kifedha unafanyika mbele ya vyombo vyetu vya usalama na mkuu wa kijiji huyo anapeperuka kwenda kuomba tena!
The idea sounds good but kwa serikali yetu ninavyoijua, uiachie ndo iwarudishie watu pesa/madai yao itakuwa historia. Kwanza watapata wachache tu ambao watatoa rushwa, pili kuna tatizo la kuwa kuna hata wengine wanaweza kuforge vyeti na kudai kuwa nao wanadai lakini sivyo, so matatizo bado yatakuwepo tu. Nashauri first of all ingewastopisha DECI kuchukua michango mipya, pili watoe order kwamba warudishe pesa za watu ndani ya miezi mitatu. Nadhani hiyo inaweza kupunguza makali ya tatizo.Asset walizonazo ni pamoja na paper money. Believe me or not kama wangeweza kushika baadhi ya million walizonazo, then kuwa filisi hao viongozi. At the end of the day watu wange writteoff hata 80% ya Investments zao, lather than now ambapo ni 100% loss sababu serikali haiwezi kurecover even sumni out of that.
Unapoingilia hizi scheme most of time zina collapse mara mmoja tuu so ni jukumu la serikali kuchukua hatua muafaka.... Mimi nina jamaa zangu waalio wai kufanya kazi na kampuni moja inayoitwa Stanford Financial, hawa jamaa walikwenda huko visiwani wakawa wanacheza nao upatu. Lakini mwaka jana SEC walipogundua kwamba kampuni inacheza upatu wali ingilia kati waka freeze assets zote, na kuwaambia wawekezaji wasubiri wakati leagal system inaendelea. Lakini mwisho wa siku wapo watakao recover pesa kiasi.
Ni kweli tunaweza kuwalaumu kuwa wamejiingiza wenyewe lakini tujiulize hao waliopanda DECI ni wangapi wanaofahamu kitu hiki kinachoitwa Ponzi scheme?
Kama ni kweli wamekuja kutaadharishwa baada ya wao kujiunga na DECI kukomaa nani alaumiwe?. Kama mtu ashavuna (kama wanavyosema) mara moja mbili akaiona faida yake na mtu huyo hana elimu ya kujua habari za ponzi sscheme nani alaumiwe?
Siwezi kuwalaumu watanzania wa kawaida sababu Tanzania hakuna enough resource inapokuja swala zima la uwekezaji.
.................Maana yake mtanzania hatakuwa huru mpaka pale atakapofunguliwa macho aone, wakati huyu mheshimiwa aitwae kipenzi cha watanzania, kikwete, alisema maisha bora kwa kila mtanzania, lakini hatufichi hakuna kilichofanyika, watanzania wana hali mbaya kuliko kawaida, wamenyanga'nywa mali zao nyumba zao, baada ya kukopeshwa na taasisi za fedha, pride, finca, na zingine za aina hiyo...................
Mkuu Kikojozi,
Ningekubaliana na wewe kwa kiasi kikubwa AFTER serikali ilitangaza tahadhari yake. Lakini kabla ya hapo kulikuwa na tahadhari gani au elimu gani iliyotolewa kwa wananchi wa kawaida kuhusu pyramid schemes.
Mkuu Susuviri
Pyramid schemes sio kitu kipya nchini kwetu. Huko nyuma zimekuja na kwenda nyingi. Labda hii ya DECI iliingia kwa staili mpya kwa "kuhalalishwa" na Kanisa Pentecoste, BRELA, TRA na BOT. Lakini vitu vingine ni "no brainer". How does mtu mzima, anayefanya kazi, believe unaweza kupata pesa za bure bure?
But your arguments are valid, kwani we have to stop thinking in terms ofa NANNY state. Ndo maana tunasema oh, serikali ifanye hivi, serikali ifanye vile..... but let me respond to what I think of the blame game. I think that Masha, Mwema and Othman have nothing to do with this. Not in realistic terms
Ewaaaaa...
The primary responsibility of a democratic government is to be a regulator in business and not to manage the economy (ule ulikuwa ni ujamaa) and in this case the arm of the Tanzanian government that regulates financial schemes is CMSA (Capital Market Security Authority) it's like FEderal Securities Exchange Commission (SEC). Hivyo nadhani ni lazima hatua ya kwanza iwe kuwatimua wooote kazi. Kuanzia ngazi ya chini mpaka juu. From this aspect, Gavana wa BoT tunamlaumu bure kwa sababu hivi sasa CMSA is an independent REGULATORY AUTHORITY, yenye bajeti kubwa tu.
After CMSA, ifuate Financial Investigation Unit. Usalama wa Taifa hawana expertise katika masuala haya kwa hiyo tunawalumu bure, in this specialist unit there are investigators who are financial specialists and are capable of doing this job. Kwa hiyo unit nzima itimuliwe. Both CMSA and FIU iko chini ya Wizara ya Fedha, kwa hiyo waziri ajiuzulu.
I think that realistically this is where the blame game stops officially. However on another level, the responsibility goes all the way up to the president, but that is another story.
Hii deci na iishe sasa tufunge mjadala manakle mafisadi wanachekelea na kuundeleza kiaina ili kuthoofisha mapambano dhidi yao na focus . Tuendelee na hoja ze4tu za UFISADI
Hii DECI ime-expose some serious weakness kwenye financial regulatory system yetu. The fact kwamba DECI is a legally registered entity inacomplicate sana mambo. Its very tempting to think kwamba wakubwa nao walikua wanakula humohumo.