Debt to GDP ratio globally Kenya is worse with 54%, Tanzania doing better with 37%

Nynyi mkifikisha 54 si mpka timu ya taifa itazuiliwa ikienda nje..manake kw kutolipa madeni hamjambo, zenu ni kuomba kusamehewa tu
Nchi fukara wa rasilimali na uchumi kama Kenya utashangaa wakikuambia mbona Japan inaongoza? Hapo ndio utajua njaa ya ubongo ina impact gani
 
Nchi maskini ya LDC kuwa kwenye 37% ni hatari sana.
 
ni upumbavu kujilinganisha na kenya-huku tana resources kila kona
 
Ndio maana Tanzania inaongoza kwa ujinga, ufukara, magonjwa, uchache wa infrastructure, uchache wa stima nk.
 
does that mean within the EAC Tanzania has lowest gdp to debt ratio? I cant see Burundi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…