joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Unaona unavyotapatapa?, Mimi ninazungumzia composition ya serikali yenu, ambayo inatoa picha ya athari za ukabila na " Nepotism", wewe unaleta habari za " Worth distribution ". Huko kwenye mgawanyo wa utajiri wa nchi, huko ndio usizingumze kabisa, Tanzania tunaongoza katika nchi zilizoko chini ya Jangwa la Sahara katika' Economic Inclusiveness", wakati Kenya ni nchi ya mwisho, hiyo habari ya uchumi wetu kutawaliwa na wahindi na warabu umeitoa wapi kama sio wivu?Nyani haoni kundule .
Tanzania ukiangalia utajiri wake utapata kwamba 98% ya matajiri wake ni Waarabu na Wahindi.
Nipe source? Sio mijadala ya emotions! Hapa ni takwimu!Acha Maneno yako wewe, muulize Tony254 atakupa composition ya serikali yenu, tulishaletewa hapa na tukalijadili hilo, Tony254, alikubali hiyo list ni ukweli, 85% ni wakikuyu na Kalenjin tu.
Nimetaja makabila mangapi hapo juu?, acha kukimbia ukweli kwamba, watu wachache sana ndio wenye kumiliki uchumi wa Kenya, walio wengi ndio hao hapo niliokuonyesha.Hao uloniletea ndo wajaluo na mijikenda
Kw akili zake anafikiria wakikuyu wanaishi nairobi...na wakati wengi wao pia huishi central km wakulima...story za vijiweni bana...
.. umemkamata
Source ni Tony254, muulizeNipe source? Sio mijadala ya emotions! Hapa ni takwimu!
I'll give you a credible one from the Public Service Commission. Ukipenda jisomee mkuu.Source ni Tony254, muulize
Hii source inasema kabila sita zimeshika 50% ya Kazi zote serikalini, kabila zilizobaki ndio zinagawana 50%. What a country is that?, are you really a civilized country?I'll give you a credible one from the Public Service Commission. Ukipenda jisomee mkuu.
Revealed: How ethnic groups share public jobs
The Civil Service is dominated by four communities, who take up more than half of all the jobs, a new government report has revealed.mobile.nation.co.ke
yani Mtanzania anaweza kuita Mkenya Pumbavu kuhusu ukame?? ilhali nchi yetu ni 2/3 rds arid ,water strained, no substantial minerals , yet our production in every sector is bigger than yours?? while your country is almost green everywhere, huge water resources,minerals, political stability lakini bado nyinyi ni LDC... hiyo aibu ni kubwa hata kuliko njaa yetu..Tuna two river mall na garden city hizi no kubwa kabisa ukanda huu....
Wapumbavu sana Hawa jamaa
Bwaaaaaahhh Kenya ina ndege!!!?? Ni gani? Labda wale ndege tausi wa 4 tulio wapeaUzuri ndege zetu hazishikwi
Sama tena alicho andika usikulupukeKaribu asilimia tisini ya wakalenjin huishi mashambani kwa kuwa ni wakulima. Ulitoa wapi data zako?
Serikalini Kwa ngazi IPI? Kwenye ngazi za juu za uongozi wamejaa wakikuyu Na karenjini monkeysLeta source ya hii 85%?
What I know is that the Kikuyus account for 22% of the government workforce while the Kalenjins are at 12.8% and the Luhyas at 12.2%!
GDP ya Nairobi ni Kwa wazungu na vibalaka wakenya wachacheUkiona GDP ya Nairobi pekee yake karibu ifike ile ya Tanzania mzima na pia ukiongeza forex reserves za Kenya ni mara mbili ya forex reserves za Tanzania.
Hawa majangili wa ujamaa ndio nchi fukara halisi.
Kenya drinking force imeshindwa kutoa Gari lililo zama mita 10Kwani unataka kulia[emoji23][emoji23][emoji23] kwasababu ya njaa hapa Kenya?? Hebu lia kwa nguvu kwikwikwi! [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Failed State inakuhangaisha hivi?? Hebu tuma msaada kwa wenzet wa Turkana. [emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa ujui Kenya kumiliki ardhi ya kulima ni lazima uwe fisadi papa ndiyo hicho tunachosema mfana Uhuru ardhi anayo miliki na familia yake nikubwa sana.sasa wewe kabwela sodoma na gomora unamiliki heka ngapi ili uweze kulima hapo slum wakati hata pakupita hapana mnapishana kwenye vichochoroKw akili zake anafikiria wakikuyu wanaishi nairobi...na wakati wengi wao pia huishi central km wakulima...story za vijiweni bana...
.. umemkamata
Umeme umerudi Dar? Mgao to 😂😂Kenya drinking force imeshindwa kutoa Gari lililo zama mita 10
Hawana wazamiaji wakati kuna video hapa mkituonyesha makomando wakwenye maji kumbe ni movie va kupika
Ambia kdf wakakojoe walale
Sasa ujui Kenya kumiliki ardhi ya kulima ni lazima uwe fisadi papa ndiyo hicho tunachosema mfana Uhuru ardhi anayo miliki na familia yake nikubwa sana.sasa wewe kabwela sodoma na gomora unamiliki heka ngapi ili uweze kulima hapo slum wakati hata pakupita hapana mnapishana kwenye vichochoro
wauzwe mara ya pili? kenya kuna maeneo rai wa kawaida hatii pua, hahahahhahahhahahhMsijekuuzwa wananchi tu kwa madeni mliokuwa nayo na miradi mfu
endeleeni kuja kuhemea unga, tutawalisha sumu kuvu mpaka bongo zenu ziwe kama ujiUkulima nao ni wa kumringishia mtu jaman ..
Bwaaaaaahhh Kenya ina ndege!!!?? Ni gani? Labda wale ndege tausi wa 4 tulio wapea
hahahahahhahahahaZile tatu