joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Unaona unavyotapatapa?, Mimi ninazungumzia composition ya serikali yenu, ambayo inatoa picha ya athari za ukabila na " Nepotism", wewe unaleta habari za " Worth distribution ". Huko kwenye mgawanyo wa utajiri wa nchi, huko ndio usizingumze kabisa, Tanzania tunaongoza katika nchi zilizoko chini ya Jangwa la Sahara katika' Economic Inclusiveness", wakati Kenya ni nchi ya mwisho, hiyo habari ya uchumi wetu kutawaliwa na wahindi na warabu umeitoa wapi kama sio wivu?Nyani haoni kundule .
Tanzania ukiangalia utajiri wake utapata kwamba 98% ya matajiri wake ni Waarabu na Wahindi.