Debt to GDP ratio globally Kenya is worse with 54%, Tanzania doing better with 37%

Duh!!umepindisha tena...haya leta hyo source hapa...

Hta twitter ukitaka nenda ukaokote utuletee
Hii source inasema kabila sita zimeshika 50% ya Kazi zote serikalini, kabila zilizobaki ndio zinagawana 50%. What a country is that?, are you really a civilized country?
 
Duh!!umepindisha tena...haya leta hyo source hapa...

Hta twitter ukitaka nenda ukaokote utuletee
Unaridhika kwa kabila sita pekee kuchukua 50% ya ajira zote, na watu elfu 10 pekee kushika 62% ya uchumi wa nchi nzima?
 
Ndege zenyewe zilikuwa mbovu si bora mnge zijaza baruti na kuzipolomosha Kwa all shababu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]imekuingia hyo..manake sio kw povu hilo[emoji382][emoji382]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wafanye fasta kabla hazijawalipukia wenyew
Ndege zenyewe zilikuwa mbovu si bora mnge zijaza baruti na kuzipolomosha Kwa all shababu
 
Mi najua tatu...hzo saba wazitaja wewe
Ujasikia kuwa zilisha nadiwa ndege 7 Kwa sababu ya madeni sasa shirika LA ndege Kenya linawana hisa hapo lazima ndege zinazo pigwa mnada ni pamojana zota za serikali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…