Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poor Odinga, when will you learn? Mara Nne, we bado huelewi tu.
Nyani Gabu
Sifikiri kwamba watu wanaogopa kwa Raila kwenda mahakamani, ila hiyo ni kitu ya kawaida kwa mpinzani wake yoyote. Wengine hapa ambao hatuna upande tunapenda mambo yawe atleast kwa kiwango ya std japo iliyochini kabisa.
Issue ya Kenya ni delicate mno, atleast kwa muono wangu. Kitendo cha kupeleka issue mahakamani na baadae kuitisha ma conference na kusema umeibiwa kura kunatia mashaka sana.
Sijui sheria za Kenya, nafikiri kwa sheria ya Tz ukipeleka kitu mahakamani basi unasubiri majibu, na nikosa kukiongelea kitu hicho kwa public wakati kiko mahakamani, sijui kwa Kenya iko je? tusaidieni hapa. Kitendo cha kusema umeibiwa wakati kesi iko mahakamani hiki kitendo si cha kawaida.
Issue iko delicate na mapanga yatapoanza kulia shaaaaaa shaaaaaa shaaa, ugaibuni tunaonekana wafrika ndivyo tulivyo na wala si wapenda madaraka wachache wa kenya bali waafrika.
sawa kabisa, ni time bomb, ila jamaa wanasheria wake ni vilaza!
wanadai et bvr machine zimeharibu uchaguz wakati bvr machine hazikutumika, wanadai eti wapiga kura waliongezwa kwa daftari la wapiga kura, ok kama ni kweli watoe uthibitisho ya kwamba kura izo ndio zilienda kwa uhuru na sio raila. hawa maloya wa raila hawawez simamia ata kesi ya kufumaniana kuku!
Nyani Gabu
Sifikiri kwamba watu wanaogopa kwa Raila kwenda mahakamani, ila hiyo ni kitu ya kawaida kwa mpinzani wake yoyote. Wengine hapa ambao hatuna upande tunapenda mambo yawe atleast kwa kiwango ya std japo iliyochini kabisa.
Issue ya Kenya ni delicate mno, atleast kwa muono wangu. Kitendo cha kupeleka issue mahakamani na baadae kuitisha ma conference na kusema umeibiwa kura kunatia mashaka sana.
Sijui sheria za Kenya, nafikiri kwa sheria ya Tz ukipeleka kitu mahakamani basi unasubiri majibu, na nikosa kukiongelea kitu hicho kwa public wakati kiko mahakamani, sijui kwa Kenya iko je? tusaidieni hapa. Kitendo cha kusema umeibiwa wakati kesi iko mahakamani hiki kitendo si cha kawaida.
Issue iko delicate na mapanga yatapoanza kulia shaaaaaa shaaaaaa shaaa, ugaibuni tunaonekana wafrika ndivyo tulivyo na wala si wapenda madaraka wachache wa kenya bali waafrika.
- Former Law Society of Kenya Chairman Ahmednassir Abdullahi has sensationally stated that CORD petition at the Supreme Court does not hold any water and it will be dismissed after the Pre-Trial hearing.
On his titter account on Saturday, Ahmednassir who is one of the best legal minds in Kenya said the evidence presented by CORD lawyers does not hold any water to convince the jury to nullify the election of President elect Uhuru Kenyatta as the fourth President of Kenya.
He said CORD leaders should have consulted well before filling the petition since it was half baked and it is a matter of time before the case is dismissed on technical grounds.
Here are some of his tweets.
Ahmednasir #The cord petition to the Supreme Court reads like surrender...the white flag has been raised! the biggest complaint...voter registration!!!
Ahmednasir# I have seen, read and understood the 32 page petition filed at Supreme Court by Cord. One word to describe it...underwhelming!
Also on his usual Sunday column on Sunday Nation, Ahmednassir termed CORD leaders as a bunch of Kenyans who are desperate to assume leadership at any cost.
![]()
Nyani Gabu
Sifikiri kwamba watu wanaogopa kwa Raila kwenda mahakamani, ila hiyo ni kitu ya kawaida kwa mpinzani wake yoyote. Wengine hapa ambao hatuna upande tunapenda mambo yawe atleast kwa kiwango ya std japo iliyochini kabisa.
Issue ya Kenya ni delicate mno, atleast kwa muono wangu. Kitendo cha kupeleka issue mahakamani na baadae kuitisha ma conference na kusema umeibiwa kura kunatia mashaka sana.
Sijui sheria za Kenya, nafikiri kwa sheria ya Tz ukipeleka kitu mahakamani basi unasubiri majibu, na nikosa kukiongelea kitu hicho kwa public wakati kiko mahakamani, sijui kwa Kenya iko je? tusaidieni hapa. Kitendo cha kusema umeibiwa wakati kesi iko mahakamani hiki kitendo si cha kawaida.
Issue iko delicate na mapanga yatapoanza kulia shaaaaaa shaaaaaa shaaa, ugaibuni tunaonekana wafrika ndivyo tulivyo na wala si wapenda madaraka wachache wa kenya bali waafrika.
Hii time bomb inatakiwa kui- neutralize, ninachoona sahizi Raila akishindwa mahakamani hatakubali tena ataenda kwa street. Hii ni kwa sababu majibu tayari anayo kwamba kaibiwa. Nafikiri majibu atayokubali ni yale tu ambayo yako upande wake.
Inabidi watu wa serikalini wajiandae pia na worst-case-scenario, ya kwamba ikitokea akaenda kwa street watai-handle je hiyo matter. Hii matter ya kuingia street ikitokea, naona iko projected kama ya Libya na Egypt, hapo Raila atakuwa Rais, unless watu wa serikali wai-handle hiyo issue kwa akili sana.
Raila alishinda uchaguzi wa 2007. Period, end of it.
I'm so sick and tired of people dumping on him and making him out to be like he is some old sourpuss or something.
NN,
Mkikuyu humwambii lolote juu ya Juluo.
Back to the topic,: Argument ya CORD kuhusu registration ina mashiko. Hiyo ikipewa evidence inatosha kunullify Matokeo.
Tusubirie Dr Mutunga na bench lake wataamua vipi.
Kambas who voted for CORD are the most peace loving people and will never go to the streets. Mombasa and kisumu might erupt but the police and FFU and the army are on standby unlike the last time where things just got out of control. The kikuyus always fight with the kalenjins but they are in tongether this time so less violence thank God.
Kheee mtu anayeshinda si ndo anakuwa rais au?
Raila alishinda uchaguzi wa 2007. Period, end of it.
I'm so sick and tired of people dumping on him and making him out to be like he is some old sourpuss or something.
NN,
Mkikuyu humwambii lolote juu ya Juluo.
Back to the topic,: Argument ya CORD kuhusu registration ina mashiko. Hiyo ikipewa evidence inatosha kunullify Matokeo.
Tusubirie Dr Mutunga na bench lake wataamua vipi.
Hahah. Mkikuyu humwambii lolote kwa Mjaluo. Kwani waligombana? Idadi ya kura kama haitazidi laki 8 bado Uhuru ataendelea kuwa mshindi hata Raila akipewa zote zinazobishaniwa. Nadhani Raila anataka kura za Uhuru zipunguzwe ili warudie uchaguzi wao 2. Vinginevyo ili kuondoa mtafaruku wa yote angekubali yaishe ingawa ana haki ya kwenda mahakamani. Hofu ya wengi kuhusu suala hili ni kuwa kama akishindwa mahakani atafanya nini? Mie sijui lakini tukumbuke amekuwa akiutafuta kwa udi na uvumba. anaweza kuamua lolote na liwe ikizingatiwa hatakuwa serikalini sasa. Tumesahau mara ya mwaka 2007?