Debunking the CORD Supreme Court petition.

Poor Odinga, when will you learn? Mara Nne, we bado huelewi tu.
 
Mmeiba kura kumpa uhuru kama kigezo cha kumsafisha jina huko the heague ila hamtafaulu.mungu bado anampenda raila.tusubiri maamuzi
 
Nyani Gabu

Sifikiri kwamba watu wanaogopa kwa Raila kwenda mahakamani, ila hiyo ni kitu ya kawaida kwa mpinzani wake yoyote. Wengine hapa ambao hatuna upande tunapenda mambo yawe atleast kwa kiwango ya std japo iliyochini kabisa.

Issue ya Kenya ni delicate mno, atleast kwa muono wangu. Kitendo cha kupeleka issue mahakamani na baadae kuitisha ma conference na kusema umeibiwa kura kunatia mashaka sana.

Sijui sheria za Kenya, nafikiri kwa sheria ya Tz ukipeleka kitu mahakamani basi unasubiri majibu, na nikosa kukiongelea kitu hicho kwa public wakati kiko mahakamani, sijui kwa Kenya iko je? tusaidieni hapa. Kitendo cha kusema umeibiwa wakati kesi iko mahakamani hiki kitendo si cha kawaida.

Issue iko delicate na mapanga yatapoanza kulia shaaaaaa shaaaaaa shaaa, ugaibuni tunaonekana wafrika ndivyo tulivyo na wala si wapenda madaraka wachache wa kenya bali waafrika.
 

sawa kabisa, ni time bomb, ila jamaa wanasheria wake ni vilaza!
wanadai et bvr machine zimeharibu uchaguz wakati bvr machine hazikutumika, wanadai eti wapiga kura waliongezwa kwa daftari la wapiga kura, ok kama ni kweli watoe uthibitisho ya kwamba kura izo ndio zilienda kwa uhuru na sio raila. hawa maloya wa raila hawawez simamia ata kesi ya kufumaniana kuku!
 

Hii time bomb inatakiwa kui- neutralize, ninachoona sahizi Raila akishindwa mahakamani hatakubali tena ataenda kwa street. Hii ni kwa sababu majibu tayari anayo kwamba kaibiwa. Nafikiri majibu atayokubali ni yale tu ambayo yako upande wake.
Inabidi watu wa serikalini wajiandae pia na worst-case-scenario, ya kwamba ikitokea akaenda kwa street watai-handle je hiyo matter. Hii matter ya kuingia street ikitokea, naona iko projected kama ya Libya na Egypt, hapo Raila atakuwa Rais, unless watu wa serikali wai-handle hiyo issue kwa akili sana.
 
Mkuu MkamaP hiyo kesi bado haijaanza kusikilizwa hakuna ubaya kuizungumzia.RAO ana wajibu wa kuwahabarisha wanahabari sababu za kufungua kesi ikishaanza kusikilizwa hakutakuwa na nafasi ya kuizungumzia.


 
Last edited by a moderator:

WanaJF huyu anayejiita mtaalam wa sheria namfananisha na wale wanadamu ambao wanatamani Mungu angewamegea mamlaka ya kuhukumu wanadamu wengine kiasi che kuamua nani aingie mbinguni na nani asiingie. Haya anayoeleza kwa sisi walalahoi, yeye kama mwanasheria anayedai amebobea angoje siku ya kesi akasemee huko mahakamani. Akumbuke kwamba kama angekuwa na sifa anazotambia kwenye JF angekuwa mmoja wa magwiji wa Kenya Supreme Court.Kwa nini yeye siyo mmoja wao ni jibu tosha PERIOD
 

He wants people to go on the street and kill each other in his name. This time no raila but kenya still has peace. He is addicted to power and was not willing to conceed. He underestimated the power of the doctor of politics Ruto mwenyewe. He did not encourage voter registration coz he out travelling and getting interviews on CNN while Uhuruto were out asking people to register as voters.
 

Kambas who voted for CORD are the most peace loving people and will never go to the streets. Mombasa and kisumu might erupt but the police and FFU and the army are on standby unlike the last time where things just got out of control. The kikuyus always fight with the kalenjins but they are in tongether this time so less violence thank God.
 
Raila alishinda uchaguzi wa 2007. Period, end of it.

I'm so sick and tired of people dumping on him and making him out to be like he is some old sourpuss or something.

Kheee mtu anayeshinda si ndo anakuwa rais au?
 
NN,
Mkikuyu humwambii lolote juu ya Juluo.
Back to the topic,: Argument ya CORD kuhusu registration ina mashiko. Hiyo ikipewa evidence inatosha kunullify Matokeo.
Tusubirie Dr Mutunga na bench lake wataamua vipi.

Wakenya waliikaribisha Katiba Mpya wakifikiri ni Marobaini wa Matatizo yao, lakini sasa wanagundua hilo siyo tatizo. TATIZO kubwa la wakenya ni UKABILA period na hass wakikuyu. WAKIKUYU its the main and basic problem for Kenya. Kwa muda mwingi wamejijengea mawazo kwamba hakuna Kabila jingine zaidi ya wao ambalo linaweza kutawala kenya. Wameua watu wengi, wamedhulumu mali za wakenya wengi kiasi cha kwamba wanaogopa watu watalipa kisasi wakichukua madaraka. Uchaguzi uliopita umeonyesha jinsi watu walivyotupiliaa mbali sera za wagombea wakajikita kwenye ukabila na umeonyesha jinsi gani mtandao wa wakikuyu ulivyofanya juu chini kuhakikisha Uhuru anashinda. Wakenya hujitutumua saana kama wamesoma sana au ni watu wenye akili lakini ukweli ni kuwa ukabila unawafanya wawe watu ambao hawajelimika na wasio wastaarabu. An educated person who thinks along tribal lines is a very primitive person indeed.
 

Mkuu
Hii hapo kwa nyeusi ndo wanapotafuta hapo, wakianzisha vurugu tu na polisi wakaingilia hata kwa kurusha kirungu, the next day ktk media za magharibi watakua wanaonyesha jinsi polisi wanavyoua waandamaji kwa kutumia helkopita za kijeshi. Video imeshachezwa inasubiri tu triggering point iwe released.

The best police can do, ni kuwaachia waadamaji, wao police wawe wanasaidiana na waandishi wa habari kuchukua tu film zinarushwa kwa TV, If any.
 
Raila alishinda uchaguzi wa 2007. Period, end of it.

I'm so sick and tired of people dumping on him and making him out to be like he is some old sourpuss or something.

sian hakika kama Raila ameibiwa ushindi ila kama ndivyo ilivyo hiyo ni mbaya sana lakini kama alishindwa kwa haki hiyo nayo ni sawa. Tutetee haki maana kama aliibiwa na tunashangilia kuibiwa kwake siku ccm wakiiba hapa tz pia tuwashangilie??
 
NN,
Mkikuyu humwambii lolote juu ya Juluo.
Back to the topic,: Argument ya CORD kuhusu registration ina mashiko. Hiyo ikipewa evidence inatosha kunullify Matokeo.
Tusubirie Dr Mutunga na bench lake wataamua vipi.

Hahah. Mkikuyu humwambii lolote kwa Mjaluo. Kwani waligombana? Idadi ya kura kama haitazidi laki 8 bado Uhuru ataendelea kuwa mshindi hata Raila akipewa zote zinazobishaniwa. Nadhani Raila anataka kura za Uhuru zipunguzwe ili warudie uchaguzi wao 2. Vinginevyo ili kuondoa mtafaruku wa yote angekubali yaishe ingawa ana haki ya kwenda mahakamani. Hofu ya wengi kuhusu suala hili ni kuwa kama akishindwa mahakani atafanya nini? Mie sijui lakini tukumbuke amekuwa akiutafuta kwa udi na uvumba. anaweza kuamua lolote na liwe ikizingatiwa hatakuwa serikalini sasa. Tumesahau mara ya mwaka 2007?
 

Hivi Raila kagombea urais mara ngapi na Uhuru mara ngapi?
 
Dah naona kesi inaamuliwa kwenye magazeti sasa!
 
Raila is obsessed by presidency he cannot read the signs of time.
Kenya kwa sasa ni nchi ya vijana na kama umefuatilia kampeni utagundua hivyo na ukweli ni kuwa kenyatta/Ruto na pengine kennedy walikuwa more apealing kwa vijana kuliko hao wazee.
Ndani ya moyo wangu ninaamini kuwa chanzo cha machafuko kenya kilikuwa ni raila lakini jamaa ni crafty sana ila this time anashindwa kuficha hisia zake na ukweli kenya haihitaji raisi mzee.
Tuangalie appeal yake ikishindwa ataimba nyimbo gani, Kwa Kenyatta /Ruto hata kama kura zikipigwa raundi ya pili watagaragaza vibaya kambi ya raila.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…