Dec 9

Scob

Member
Joined
Dec 3, 2012
Posts
57
Reaction score
6
Leo ni siku ya kukumbuka jinsi Ma Legendary wetu Mwl. Julius K Nyerere na wanaharakati wengine walivyopigania uhuru wa Tanganyika kwa vitendo. Baada ya miaka 51 ya uhuru leo Tanganyika ni kichwa cha mwendawazim, ni shamba la bibi, ni moja ya inchi enye lundo ya maswali yaliyokosa majibu kutoka kwa viongozi wetu wa ngazi juu katika serikali yetu, tumekuwa viziwi, tunaongozwa na wendawazimu tena kwa hotuba za upofu. Na leo sitegemei kitu kipya kusikia kutoka kwa rais zaid ya upuuzi tena alioandikiwa na wapambe wake kwani hata yeye mwenyewe hajui ni nini atachokiongea. This is so terrible!!!!!
 
Matatizo yote yameanzia kwa nyerere,, yoooote na wala hakuna jipya

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
LEO NDIO SIKU KAMANDA WETU WA UKEE...E! FREEMAN MBOWE ANAKUMBUKA SIKU YAKE YA KUZALIWA NA KUTIMIZA MIAKA 51.


😛arty:HAPPY BIRTHDAY KAMANDA MBOWE.😛arty:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…