Scob
Member
- Dec 3, 2012
- 57
- 6
Leo ni siku ya kukumbuka jinsi Ma Legendary wetu Mwl. Julius K Nyerere na wanaharakati wengine walivyopigania uhuru wa Tanganyika kwa vitendo. Baada ya miaka 51 ya uhuru leo Tanganyika ni kichwa cha mwendawazim, ni shamba la bibi, ni moja ya inchi enye lundo ya maswali yaliyokosa majibu kutoka kwa viongozi wetu wa ngazi juu katika serikali yetu, tumekuwa viziwi, tunaongozwa na wendawazimu tena kwa hotuba za upofu. Na leo sitegemei kitu kipya kusikia kutoka kwa rais zaid ya upuuzi tena alioandikiwa na wapambe wake kwani hata yeye mwenyewe hajui ni nini atachokiongea. This is so terrible!!!!!