December 18: Diamond kwa Zari, Wema kwa Chameleon

Binti Magufuli

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2011
Posts
7,479
Reaction score
5,157
Ile project ya Diamond itahamia Uganda hapo tarehe 18 December kwenye Zari white party inayofanyika kila December. Mgeni rasmi atakuwa Diamond. Wakati huohuo Wema nae atakuwa akiserebuka kwenye party ya Jose chemeleone ambayo inatarajiwa kufanyika tarehe hizo hizo. Ikumbukwe Jose na Zari walishawahi kuwa wapenzi kipindi cha nyuma hadi kufikia Zari kugombana na mke wa Chameleon. So ni watalaka kwenda kwa party za watalaka. Hii Kali sana japo haileweshi.

Haijajulikana bado Kama Ivan baba watoyo wa Zari ndiye au siye mdhamini wa party ya zari Kama ilivyokuwa miaka ya nyuma.

Chini ni picha ya Wema na Diamond kila mmoja akihamasisha party ya mwenyeji wake.

Wacha project ziendeleeeeee
 

Attachments

  • 1417008687632.jpg
    73.2 KB · Views: 5,368
wakirudi huko watakua wameshaungana as couple (wema & diamond) tena.
 
Naona imekuwa kama vita sasa! wakitoka huko lazima warudiane! Hakika yetu macho kabisa!
 
Namuonea huruma wema kwasbb dai ni mwanaume na kiumri bado sn kutulia...ss yy mwanamke anataka kushindana na mwanaume anashangaa muda haurudi nyuma...dai ana uwezo wa kuoa ht miaka 10 ijayo yy ajiulize atakuwa wapi huo muda?
 
daah Noma sana na hizi ndio fursa zenyewe naona na huku kwetu wameanza kuzifanyia kazi kibiashara zaidi hizi skendo wanazozilisha bila sanaa inaelekea pazuri
 
Ndio mkuu.

Mkuu umesahau waliosoma wengi ndiyo wanaongoza kufanya mambo ya ajabu..
Wanatufisadi, wanafanya maamuzi ya ajabu juu ya rasilimali zetu, wanaongoza kutembea na madada poa, wana kapuya watoto wadogo...
Hivi wema amesoma mpaka level gani?
 
Jamani wema amenitokaa...looh anashindana na dangote atamuweza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…