December 18: Diamond kwa Zari, Wema kwa Chameleon

Mfa maji haishi kutapatapa...mtaka vyote hukosa vyote...sioni sababu ya huyo wema kushindana na diamond ambaye ni MWANAUME. ..bora akitulize tu home...cz kufanya hivyo inaonyesha hajiamini na anachofanya
 
Wema bana tangu lini akawa mshabiki wa chameleon kiasi hicho? anahangaika kama anataka kutaga kwani ye si ndo kaacha sasa nyg za nini tena, sijui lini atajijua kuwa ye ni mwanamke anatakiwa atulie nyumbani na awe familia, mwanamke daily yupo club utadhani DJ....
 
Shosti hiyo inaitwa kisebu sebu na kiroho kipo papo, huwezi jua Ana nanihii vipi, siunajua tena hata wapite 100 lakini 1 atakugusa ndipo...
 
Sa kama anajua huyo ndo kiboko ya list yake anagusaga hadi tezi jike shauo la nini? ndo hapo ajue pesa si kila kitu katika mapenzi japo ikiwepo inaongeza furaha, atulize mshipa aache kujidhalilisha pimbi huyo
 
Ndio mkuu.

Wema hajasoma, kaishia form four pale international academy mikochen, alienda sijui malaysia kusoma cheti ila hakumaliza akazingua akafukzwa chuo, wote ni sawa , sema tu wema alipata exposure nzur kama unavyojua shule za wenzetu lazima uwe smart kichwani, ila hana ata cheti achilia mbali diploma
 
Wema bana tangu lini akawa mshabiki wa chameleon kiasi hicho? anahangaika kama anataka kutaga kwani ye si ndo kaacha sasa nyg za nini tena, sijui lini atajijua kuwa ye ni mwanamke anatakiwa atulie nyumbani na awe familia, mwanamke daily yupo club utadhani DJ....

Mwanzoni alijifanya anapotezea mara ana like picture zile za zar na diamond walizokuwa wakipiga wamebusiana. Sasa ivi naona imekuwa ngumu kumesaa
 
These little itinerant street walkers haven't even been to Kampala but already dripping their panties wet just from seeing the banner.

SMH.
 
Wema bana tangu lini akawa mshabiki wa chameleon kiasi hicho? anahangaika kama anataka kutaga kwani ye si ndo kaacha sasa nyg za nini tena, sijui lini atajijua kuwa ye ni mwanamke anatakiwa atulie nyumbani na awe familia, mwanamke daily yupo club utadhani DJ....

Mwl naomba ufungu siku 39 kumuombea wema! yani toto jinga sana hili litazidi kudhalilishwa kila Leo! alivyo kichwa maji anaweza kwenda kwenye party ya zari kuchungulia!

Tafadhali mpelekeni kwa kakobe!
 
Mwanzoni alijifanya anapotezea mara ana like picture zile za zar na diamond walizokuwa wakipiga wamebusiana. Sasa ivi naona imekuwa ngumu kumesaa

Huyu binti bora apigwe mnada tuu anajidhalilisha sana tena sana!
 
Sa kama anajua huyo ndo kiboko ya list yake anagusaga hadi tezi jike shauo la nini? ndo hapo ajue pesa si kila kitu katika mapenzi japo ikiwepo inaongeza furaha, atulize mshipa aache kujidhalilisha pimbi huyo
Hahahaha
Mwl somo la Tezi jike hujuwai kufundisha!
 
Wema bana tangu lini akawa mshabiki wa chameleon kiasi hicho? anahangaika kama anataka kutaga kwani ye si ndo kaacha sasa nyg za nini tena, sijui lini atajijua kuwa ye ni mwanamke anatakiwa atulie nyumbani na awe familia, mwanamke daily yupo club utadhani DJ....

Hahahahaha heti DJ
Mwl mbona siku hizi umekuwa na akili nyingi sana hadi nahisi zinamwagika
 
Mfa maji haishi kutapatapa...mtaka vyote hukosa vyote...sioni sababu ya huyo wema kushindana na diamond ambaye ni MWANAUME. ..bora akitulize tu home...cz kufanya hivyo inaonyesha hajiamini na anachofanya

Nadhani watu wataanza kuelewa kwanini Mimi humchukulia Wema ni mgonjwa wa akili!
 
Daimond juu jamaniiii wema anatapatapa heheeee nawaombea zari na dai mfanikishe project na party yenu ifunikeeeeeeeeeee
Dai sukari kweliii wema rudi tu kwa Dai unaona zari anafaidi kirungu
 
Back
Top Bottom