BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,767
- 23,198
Wema nayeye ni moja ya maajabu kumi ya Mapenzi!
hahahahaha
Wewe si hujantumia ule wa mashoga
Usishangae pamoja na domo kumdhalilisha huko ig akakubali kumrudia...
Angekua mdogo wangu ningemoa vitasa hadi akimbilie polisi
Bibi bomba mzuri jamaniii aiseeeee wamependezajeeee
hahahaha
Mbona harushi picha?
Dai kapata tuzoooooooo heheee naona nyota ya zarinah ni kibokoooooooo
hahahaha kapata Mbili kwakweli nimefurahi habari hii imfikie Mwl Evelyn Salt maombi yamesikika!
Tutake radhii tutakee radhiiiii tutake radhiiiu sasa ni tatu yaan team kiba lazima wachambie pilipili mbuzi
hahaha nimekutaka radhi
Ule mgauni sasa mbayaaaa haujanyooshwa, mtumbo umetuna Kama chura mjamzito. Bibi ivan amefulia kubali tu. Nguo ya kinondoni mtumbani ile. Hehehehehe mama diamond ametoka kuliko huyo witch lady
Wema anajua anachokifanya
Ule mgauni sasa mbayaaaa haujanyooshwa, mtumbo umetuna Kama chura mjamzito. Bibi ivan amefulia kubali tu. Nguo ya kinondoni mtumbani ile. Hehehehehe mama diamond ametoka kuliko huyo witch lady
Jaman tuzoo jamaniii
Habari zmenifikia hapa kitandani nilipo, hakika ni habari njema...ila hv zari amamsalimia ma mkwe wake "shkamoo" au "habari za saizi":becky::becky::becky:hahahaha kapata Mbili kwakweli nimefurahi habari hii imfikie Mwl Evelyn Salt maombi yamesikika!
Wema anasema hongera kaka platinumz !