December 18: Diamond kwa Zari, Wema kwa Chameleon

December 18: Diamond kwa Zari, Wema kwa Chameleon

UN summit a.k.a zari ze witch lady ( si baba watoto wake ni mchawi na yy amekubali kula hela ya uchawi) live bila 360 na filter. Ona alivyo na harara na makovu mdomoni hehehehehe mkivaa pampers msisahau kutoa airtime pia

Heheheh zari masikio sasa....mmmh
 
Huko ist kuna page ya damothe great sijui ukimrekebisha domo utavurugumiziwa matusi utafikiri kazaliwa na domo baba mmoja mama mmoja watu wana hawana kazi kweli
 
Wengine wakihongwa sana tulaki tuwili......

Wamwache mtoto wa mwenzao

Nimesoma news za uganda wanasema Shoo ya chameleone ni mwishooooooo nasikia kiingilio milioni. Mtu wa kawaida hata kunusa hawezi. Kwa zari ndio affordable.
Najua Wema lazima atunze kuweka headlines. Akirudi atakuwa amechukuliwa na matajiri wa Uganda. Chuna buzi mama kwa raha zako kwa shida zao. Hata sisi tunataka kuchuna sema bahati hizo hatuna. CC Evelyn Salt
 
Last edited by a moderator:
626,656. Tzshs. Me nlidhani hela ya ug Ina thamani kuliko yetu kumbe nop.

Basi hata hivyo hela yao imepanda thamani kidogo ilitakiwa kuwa laki tano! Akizitumia huko Uganda ni hela nyingi sana! Hata hivyo hakuna Mtanzania ana weza piga show kwa kiingilio cha Laki 6 ni hela nyingi sana!
 
Diamond siku akipiga show ya Laki6 lazima anunue gari kama hili halafu anawaja wabebiz wa project na dereva atakuwa lemutuz!
 
Attachments

  • 1417196578047.jpg
    1417196578047.jpg
    54.8 KB · Views: 148
Hata Mimi naweka mawazo yangu kwa fact. Si kama namchukia UN summit. Alafu kumbuka hata jina ulilomuita Wema linaonyesha tu how biased u a....uko so subjective linapokuja swala linalomhusu Wema. Nadhani hata yuleeeee swahiba wangu wa ukweeeee from another mother atakuwa anasoma hapa. Yeye ashajijua ila tuliapizana kupisha ngurue apite tunapokutana kwenye mada tata Kama hizi ili kulinda uswahiba.

Mrembo eeeee huyo swahiba hebu mtajeeeeer nami nimuoneeee
 
Nimesoma news za uganda wanasema Shoo ya chameleone ni mwishooooooo nasikia kiingilio milioni. Mtu wa kawaida hata kunusa hawezi. Kwa zari ndio affordable.
Najua Wema lazima atunze kuweka headlines. Akirudi atakuwa amechukuliwa na matajiri wa Uganda. Chuna buzi mama kwa raha zako kwa shida zao. Hata sisi tunataka kuchuna sema bahati hizo hatuna. CC Evelyn Salt

Hhhhhhhhhhaaaaaaaa,sasa mbona hao matajiri hadumu nao atawapata wengi lakini cha muhimu atafute na pesa yake uwezekano wa wema kua kibopa ni mkubwa mnooo,,,
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom