Weka picha kwa ushaidi zaidi wa wema na chammilion
Mimi siwezi kumlaumu Diamond maana shule hakuna, ila namshangaa sana Wema.
Ndio mkuu.
Wema bana tangu lini akawa mshabiki wa chameleon kiasi hicho? anahangaika kama anataka kutaga kwani ye si ndo kaacha sasa nyg za nini tena, sijui lini atajijua kuwa ye ni mwanamke anatakiwa atulie nyumbani na awe familia, mwanamke daily yupo club utadhani DJ....
Shosti hiyo inaitwa kisebu sebu na kiroho kipo papo, huwezi jua Ana nanihii vipi, siunajua tena hata wapite 100 lakini 1 atakugusa ndipo...
Ndio mkuu.
Wema bana tangu lini akawa mshabiki wa chameleon kiasi hicho? anahangaika kama anataka kutaga kwani ye si ndo kaacha sasa nyg za nini tena, sijui lini atajijua kuwa ye ni mwanamke anatakiwa atulie nyumbani na awe familia, mwanamke daily yupo club utadhani DJ....
Yani huyu binti ni kiazi kwakweliMwanzoni alijifanya anapotezea mara ana like picture zile za zar na diamond walizokuwa wakipiga wamebusiana. Sasa ivi naona imekuwa ngumu kumesaa
Wema bana tangu lini akawa mshabiki wa chameleon kiasi hicho? anahangaika kama anataka kutaga kwani ye si ndo kaacha sasa nyg za nini tena, sijui lini atajijua kuwa ye ni mwanamke anatakiwa atulie nyumbani na awe familia, mwanamke daily yupo club utadhani DJ....
Mwanzoni alijifanya anapotezea mara ana like picture zile za zar na diamond walizokuwa wakipiga wamebusiana. Sasa ivi naona imekuwa ngumu kumesaa
HahahahaSa kama anajua huyo ndo kiboko ya list yake anagusaga hadi tezi jike shauo la nini? ndo hapo ajue pesa si kila kitu katika mapenzi japo ikiwepo inaongeza furaha, atulize mshipa aache kujidhalilisha pimbi huyo
Wema bana tangu lini akawa mshabiki wa chameleon kiasi hicho? anahangaika kama anataka kutaga kwani ye si ndo kaacha sasa nyg za nini tena, sijui lini atajijua kuwa ye ni mwanamke anatakiwa atulie nyumbani na awe familia, mwanamke daily yupo club utadhani DJ....
Mfa maji haishi kutapatapa...mtaka vyote hukosa vyote...sioni sababu ya huyo wema kushindana na diamond ambaye ni MWANAUME. ..bora akitulize tu home...cz kufanya hivyo inaonyesha hajiamini na anachofanya