December 18: Diamond kwa Zari, Wema kwa Chameleon

Hela zinazompa kibri zari ni za Ivan wala,si zake .. Cku ingine Fanya research..

Ni wazi hata huyu Zari ana hongwa tuu! Mimi nalia na diamond awe makini sana hayo mambo hayana mwisho! Mrembo by Nature tafadhali muombee Wema akili zimrudie!
 
Last edited by a moderator:
Heheheheh scoop on scooop wamesema K ya zari sawa na UN summit

Tanzania wamepita, uganda wamepita, Nigeria wamekula hapo, southafrica wamepita.....

Pia wamemshauri afanye kazi ili apate pesa ya kuhonga "sex boys/toys" wake

Ila wabongo wanamsifia hahahah

Dinazarde tena wewe unanivuruga ujue hehehe ntakupasuaaaaaaaaaaa sema tu nakuheshimu ujue. Kajala mzuri mbona aud hakupewa kadi na kodi ya nyumba ilitaka kumshinda juzi? Leo naandika tu full magazeti. Ntaandika na kujijibu mwenyewe

Huu ubuyu wa kushindwa kodi nimeusikia sikia ila hauwekwi wazi hebu funguka mrembooooooo
 
Last edited by a moderator:

hahaaaaaaa nachekaje nikiangalia SOS, yule dada na ile sauti yake sasa
 
hahaaaaaaa nachekaje nikiangalia SOS, yule dada na ile sauti yake sasa

Daimond anajua kurusha watu roho jamaniii nimeiona hiyo selfie kwa hiyo sasa hiv kila atakapoenda zari yupo nyumaa hahhhhhaaaaa wema nae sijui atasafiru na nani tusubiriiiii
 
Khaaa watu wana mineno jamani, K sawa na UN summit?? Mweee
 
Ushajiunga Insta damwani

Badoo nimeona kwa sintah, hhhhaaaa itakua zari anamruhusu azipost kwenye blog yakee,ina maana na south bba zari ana project au biashara zake iwejee iwe siku aliyoenda dai nae ndio aende wacha movie iendeleee
 
mi hapa namtoa akili wema maana mwanamke stara
zarina nae bibi bomba wala hamkomoi wema anajidhalilisha tu mtu mzima hovyoooooooooo
 
Badoo nimeona kwa sintah, hhhhaaaa itakua zari anamruhusu azipost kwenye blog yakee,ina maana na south bba zari ana project au biashara zake iwejee iwe siku aliyoenda dai nae ndio aende wacha movie iendeleee

atakua kaenda kupigwa mti tu huyu Zaitun Hussein

Diamond anarekodi wimbo na washiriki BBA
 
Wema anajaribu kumtia wivu diamond,nahisi baada ya kusikia diamond anaenda kwa zari kapata mwaliko yeye akaamua Kumwomba mwaliko chamillion,maana diamond kaalikwa anajulikana yaani kikazi sasa wema yeye aalikwe na chamillion kufanya nini,anapeleka mbunye yake Uganda kumkomoa diamond?
 
Badoo nimeona kwa sintah, hhhhaaaa itakua zari anamruhusu azipost kwenye blog yakee,ina maana na south bba zari ana project au biashara zake iwejee iwe siku aliyoenda dai nae ndio aende wacha movie iendeleee

Zari anaishi pia south Africa na anauraia au permanent permit km sikosei. Hata Ivan mganga wake wa kienyeji anaishi huko huko. Though na Uganda wana makao pia
 
Mremboo eee mi simpendi zarii

Acha kunienjoy wewe tena mbele ya UN summit...na hivi Wema indirectly amehusika kwenye hii ishu ndo kabisaaa maharage utayaita nyama. Subiri mtafurahi wenyewe pale domo wako akianza kutokwa vipele..nakupostia pic ya UN summit akiwa na harara...no filter wala 360
 
UN summit a.k.a zari ze witch lady ( si baba watoto wake ni mchawi na yy amekubali kula hela ya uchawi) live bila 360 na filter. Ona alivyo na harara na makovu mdomoni hehehehehe mkivaa pampers msisahau kutoa airtime pia
 
Attachments

  • 1417167773103.jpg
    51.3 KB · Views: 313

Jaman mna uhakika gan zari ana ngoma???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…