Na bado October 2pm wallahWanamtandao wanakata tawi walilokalia wanafikili wataangua walala hoi pekee
Nawaambia tawi likikatika wakwanza kudondoka Ni mafisadi
Wananchi hasa vijana hatuna Cha Kupoteza
Endeleeni kushupaza shingo muone tunavyoenda kuwashughulikia
Yaani mpaka sasa bado tu hamjui vijana ndani ya mfumo wameasi?
TISS,JWTZ, Police watumishi wote wa umma under 40 wameasi ambao ni 70% ya Wafanyakazi wote.
Nawaambia hii Vita wanamtandao mmeumaliza mwendo.
Na wote tuseme "AMEN"Nawaambia hii Vita wanamtandao mmeumaliza mwendo.
Ni hatariSasa hivi kutembea na nguo za chama cha mbogamboga ni kana kwamba unatembea na bangi!
Yaan hii game, Chadema wakiendelea kukaza na kusimamia haki bila kuwasaliti wananchi, basi muda si mrefu kama sio miaka michache mbele, wanakamata Dola.Sasa hivi kutembea na nguo za chama cha mbogamboga ni kana kwamba unatembea na bangi!
Lissu ni mjumbe wa Mungu.Yaan hii game, Chadema wakiendelea kukaza na kusimamia haki bila kuwasaliti wananchi, basi muda si mrefu kama sio miaka michache mbele, wanakamata Dola.
Ni kweliiWanamtandao wanakata tawi walilokalia wanafikili wataangua walala hoi pekee