Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Kwa kweli kazi ipo wacha hawa jamaa wawaweke ndani wachungaji....
leo kumetokea vituko vya ajabu watu wamejipanga mpaka barabarani walipoingia wanakwambia onyesha risiti...baada ya hapo wanakuangalia kama umevuna.kama ushavuna hata mara moja wanakwambia kaa pembeni ushavuna...tunarudisha kwanza wasiovuna....mmmmhh hapo ndipo wanajionyesha wazi kumbe pesa zao walikuwa wanategemea """"""""""""""""""""""""""""""""""MBEGU""""""""""""""""